Hivi huwa unajibuje akikwambia ''I love you'' mbele ya wazazi wako?

Nakuapia Kwa jina lake yeye ni ukweli kabisa,
Halafu mama yangu kanishinda miaka 16 Tu

Bado kuna habari kinga haimalizi hamu, Bado kuna hatari mpenzi ukimwacha na hamu.
Ndo maana mnafanana akili, mtoto alizaa mtoto- mtu na mdogo wake

Small minded people won't understand
 
Kama nipo na mama hakuna shida..
Maana hata yy hua ananotafutia madem, Ila nikiwa na kubwa la maadui Dingi/Mzee/Gadafi/General Lazima nitoke ndukii
Mkuu bado unaishi kwa wazazi....?

Yes or No
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…