Hivi huwa unajihisi vipi ukilala katika kitanda chenye kunguni?

Hivi huwa unajihisi vipi ukilala katika kitanda chenye kunguni?

Sisi tulikuwa na ndugu yetu Mhindi mchafu alikuwa akija home anawaacha nusu.
Hahaaa.....hatari na nusuu!!!hawa wadudu sina hamu nao Jana nimeenda kunnua dawa ya mbu ananiulizia ya kunguni na mbaya huchukui nkamuambia nyumba yangu haina hizo mambo alishangaaa...sanaa[emoji3][emoji3][emoji16]nkamuambia kweli tena,hajaamini
 
Kipindi hicho nakaa sinza kumekucha geto , asee walinivamia wale current generation ambao hadi wazazi wao walikua wamehimili mikiki mikiki ya dawa. Basi walinitia bite za kutosha hadi geto sikulitamani. Nilishauriwa nipige rangi nyumba nzima na kufua kila kitu... wapii. Basi akatokea mama mmoja mtu mzima akanisikia nikilalamika. Akanimbia ninunue mafuta ya taa lita mbili nichanganye na sabuni ya unga . Nikoroge vyema then nipige. Asee nilikuta wamekauka kabisa.
 
Mdogo wangu alienda bush karudi na kunguni akaropoka nilikokua kuna kunguni hukoo nkamwambia kabla hatujaingia ndani begi lako acha nje kesho fuaa we mwenyewe oga kwanza ndo uingie ndani[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]!!!

Hizo nguo nilihakikishwa mpk zinanyooshwa!!!
Nilienda sehemu moja nilikaa wiki 2 kama miaka 20 vile kila nikiweka ubavu hapana nakaa wenyeji wanakoroma
niliporudi nyumba nikijialia mwili umejaa vipele na mikovu kama bondia wadudu hatari wale
 
Mdogo wangu alienda bush karudi na kunguni akaropoka nilikokua kuna kunguni hukoo nkamwambia kabla hatujaingia ndani begi lako acha nje kesho fuaa we mwenyewe oga kwanza ndo uingie ndani[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]!!!

Hizo nguo nilihakikishwa mpk zinanyooshwa!!!
Mwie mwenyewe ilikuwa msibani jamani acha nilikuwa na makovu mwilini
utazani kambale aliyepitishwa motoni wiki 2 tu sina hamu
 
Sisi tulikuwa na ndugu yetu Mhindi mchafu alikuwa akija home anawaacha nusu.

Hawa wadudu kuna kipindi walinyanyasa kwenye Mahoteli huko mbele, New York City. Nasikia Ilikuwa balaa, hawana adabu hawa na si kwa ajili ya uchafu, na bado ni tatizo mpaka leo! [emoji23][emoji23][emoji23]

Bedbugs in New York City - TripSavvy
TripSavvy › ... › Essentials
bed bugs in new york city from www.tripsavvy.com
Feb 26, 2019 · Tiny bloodsucking bedbugs have become an epidemic in New York City over the last decade. The little pests have invaded even the cleanest and most expensive apartments in neighborhoods around Manhattan. Here's everything you need to know about bedbugs in NYC.
 
😀😀😀😀
 
Daa hawa wadudu wametoka kuniaibisha leo...Nimekaa nasikiliza hotuba ya Mei Mosi ghafla nikamuona mmoja amechomoza ndani ya T-shirt yangu anahahaha tuu...Nikamdaka faster na Kumbinya Kimya kimyaa
Na Hawa jamaa waliletwa na madogo zangu flani kutoka ghetoni kwao...
Wamenifanya Hadi Kochi langu pendwa niilikimbie maana ukikaaa tuu unapigwaa bite za kutosha hata iwe mchana!
Hapa ndo napanga plan za kuwaangamiza kabla hawajazaliana vya kutosha.
Picha ya Leo hiyo ya Yule alietaka kuniaibisha mbele za kadamnasi(Hapo alishanyonya damu za kutosha)
IMG_20190501_114717.jpeg
 
Back
Top Bottom