Hivi huwa unajihisi vipi ukilala katika kitanda chenye kunguni?

hawa wadudu waliwahi kunipa tabu sana mwaka 2013 nilipokuwa nasafiri na basi la mohamed trans la dar - bukoba

ni katika kile kipindi ambacho mabasi ya mohamed trans yalikuwa yanaenda ukingoni kufa, wahusika walikuwa hawapulizi dawa.

mziki ulianzia kahama mida ya usiku. basi zote zilizokuwa zinatoka dar kwenda bukoba ziliamliwa zilale kahama ili alfajiri ziamshe kuendelea na safari.

baadhi ya abiria waliamua kwenda kulala lodge za jirani na pale stendi na sisi wengine tukakomaa kwa kulala ndani ya basi.basi weee acha tu. kunguni walitufanya kitu mbaya sana. hakuna abiria aliyelala.

ilikuwa ni fulu kujikuna....ikabidi nitoke nje nikaenda kukaa na madereva bodaboda nikipiga nao story mpaka asubihi.
Pole sana
 
yaan nakumbuka nilikiwa nafanya juu chini nisilare ndani ili wafwe njaaa kumbe ndio kwanza wanatunza maumivu[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]siku ya kulala nachezeshwa show kama ile ya TP mazembe kwa simba..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nao wanavuta pumzi siku ukiweka ubavu unawatambua
 
Kuna imani tulikuwa nayo enzi za upuliziaji wa dawa za mbu majumbani kuwa ile midawa yao ndio ilileta kunguni.

Sijui ni kweli kwa sababu karibia kila nyumba iliyopuliziwa hayo maviwavi damu lazima yaje
 
Ulimalizaje hilo tatizo mkuu?,tupe experience.
ni ngumu sana kuwaangamiza wanapokuwa wamejiimarisha katika makazi yako.

moja kati ya dawa inayoweza kuwaangamiza na kuuwa kabisa mazalia yao ni hii inayofahamika kwa jina la "INSECTICIDE DOOM".
hii ndio kiboko ya kuungamiza kunguni. nimewahi itumia.

ni dawa very common, inapatikana ktk maduka ya dawa za mifugo au dawa za kilimo. watu wa hayo maduka watakupa maelezo ya namna ya kuitumia na tahadhari zake.
3c59dc048e8850243be8079a5c74d079.jpeg
 
Yoote hyo pole sana...
kuna dawa nilinunua Tsh 5k sikuamin kama kweli waliisha ila nashukuru mungu hadi hivi leo ni raha msarehe!
Dawa ya kunguni hawarudi tenaa.. Mafuta ya taa,sabuni ya unga yoyote na chumvi changanya vile mwaga ndani au eneo husika...chumvi haiyayuki halafu paka ule mchanganyiko hawarudi hata kwa bombardier
Ulimalizaje hilo tatizo mkuu?,tupe experience.
 
hawa wadudu waliwahi kunipa tabu sana mwaka 2013 nilipokuwa nasafiri na basi la mohamed trans la dar - bukoba

ni katika kile kipindi ambacho mabasi ya mohamed trans yalikuwa yanaenda ukingoni kufa, wahusika walikuwa hawapulizi dawa.

mziki ulianzia kahama mida ya usiku. basi zote zilizokuwa zinatoka dar kwenda bukoba ziliamliwa zilale kahama ili alfajiri ziamshe kuendelea na safari.

baadhi ya abiria waliamua kwenda kulala lodge za jirani na pale stendi na sisi wengine tukakomaa kwa kulala ndani ya basi.basi weee acha tu. kunguni walitufanya kitu mbaya sana. hakuna abiria aliyelala.

ilikuwa ni fulu kujikuna....ikabidi nitoke nje nikaenda kukaa na madereva bodaboda... nikapiganao story mpaka asubuhi.
hahaaa!!! Shikamoo kunguni
 
Nilienda sehemu moja nilikaa wiki 2 kama miaka 20 vile kila nikiweka ubavu hapana nakaa wenyeji wanakoroma
niliporudi nyumba nikijialia mwili umejaa vipele na mikovu kama bondia wadudu hatari wale
 
Kuna imani tulikuwa nayo enzi za upuliziaji wa dawa za mbu majumbani kuwa ile midawa yao ndio ilileta kunguni.

Sijui ni kweli kwa sababu karibia kila nyumba iliyopuliziwa hayo maviwavi damu lazima yaje
Lisemwalo lipo!!
 
ni ngumu sana kuwaangamiza wanapokuwa wamejiimarisha katika makazi yako.

moja kati ya dawa inayoweza kuwaangamiza na kuuwa kabisa mazalia yao ni hii inayofahamika kwa jina la "INSECTICIDE DOOM".
hii ndio kiboko ya kuungamiza kunguni. nimewahi itumia.

ni dawa very common, inapatikana ktk maduka ya dawa za mifugo au dawa za kilimo. watu wa hayo maduka watakupa maelezo ya namna ya kuitumia na tahadhari zake.
View attachment 1085173
Wahanga wamepata somo
 
Back
Top Bottom