hamza mahundu
Member
- Dec 20, 2018
- 58
- 116
Usikate tamaa ndugu bado una wiki mbili lolote linaweza kutokea.Kuna mazingira kama haya, umekopa pesa kwa mtu uizungushe ikaferi, matarajio ulipe Kodi, mama mwenye nyumba ulishamuahidi MWEZI WA 10 tarehe 18 unampatia pesa yake..Leo tarehe 2. Aiseeee. Na ingebidi MWEZI uliopota umalize deni.
Maokoto zero.kula kwenyew kumekuwa kwa tabu saaana,kulala njaa kawaida.
Fikiria ni wewe?? Unajitoaje happoo
AmeenUsikate tamaa ndugu bado una wiki mbili lolote linaweza kutokea.