Hivi huyu alinipenda kweli?

Hivi huyu alinipenda kweli?

mitazamo ya upande mmoja hiyo. Mtu kukwambia anakupenda hana maana anataka kusex. Poor man!
 
Umeniudhi sana sikutegemea mwanaume ukatae nyama unayoitamani. Sasa fanya hivi kubali urafiki ataingia line sikusinyingi,jaribu kumcare sana,alaf utaona nyama unaila kiulaini. Usitumie nguvu nyingi.
 
Umeniudhi sana sikutegemea mwanaume ukatae nyama unayoitamani. Sasa fanya hivi kubali urafiki ataingia line sikusinyingi,jaribu kumcare sana,alaf utaona nyama unaila kiulaini. Usitumie nguvu nyingi.

Lengo langu lilikua kumpa picha kwamba mimi si mwanaume ambaye akiambiwa na mtoto wa kike kuwa anapendwa basi anaingia kwenye mtego,kumbe nilikua napotea gizani!
 
  • Thanks
Reactions: LD
mitazamo ya upande mmoja hiyo. Mtu kukwambia anakupenda hana maana anataka kusex. Poor man!

Kwani nimesema kusex hapo au kuwa katika mahusiano ya mapenzi!Au sijaelewa ulitaka kusema nini hapo mkuu?
 
Pozi mbaya jamani..mwanamke akipenda amependa...unaleta poz..akibembelezwa kidogo kwingine..umekwisha..atahamishia mapenzi yoteeeee huko....mpaaka akusahau..:A S-rose:.

dah!Ina maana nishampoteza!
 
Amepata kivuli cha kupumzika baada ya kutembea muda mrefu juani,kuwa na subira
 
alikuona mzinguaji ndo maana. na hii hali wanaume wengi mnaipenda ee sijui huwa mnawaza nini, mkiambiwa na mabint kuwa mnapendwa huwa mnaleta pozi sa sijui huwa mnawaza nini.
 
Alikupenda sana ila kwa kuwa alikuambiwa nawewe ukajifanya hujui akahisi ni kama amejidhalilisha so akapata chuki ya hali ya juu kwako
Mwanaume huwa hakatai kwa namna hiyo kijana lol umetutia aibu
Hapo huna ujanja
 
Amepata kivuli cha kupumzika baada ya kutembea muda mrefu juani,kuwa na subira
Ni kweli Asnam
Mwache ale raha na inawezekana kapata kwenye mapenzi ya dhati na wazi
 
Last edited by a moderator:
Kwa kweli inaniuma kwa nilichofanya!Bora ningekubali pale pale!

Bora unakubali kuwa ulikuwa mjinga. Mwanaume siku zote hadengui kama amependa, hiyo ni tabia ya wanawake na wana sababu zao nzuri tu. Wewe kuwa na subira. Maadam alishakuanza bila shaka nafasi moyoni mwake kwa ajili yako ipo. Kwa sasa kubali status ya urafiki lakini wakati huo huo tafuta chance ya kuongea naye. Mtoe out kama rafiki, mnunulie zawadi,jaribu kumweleza tena hisia zako. Usichoke na usiwe na haraka.
 
Ulikua na lengo gani hasa.....kudengua!
 
Back
Top Bottom