Hivi huyu Amos Nyanda ni nani?

Makonde plateu

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2022
Posts
1,443
Reaction score
3,480
Wakuu kuna jamaa anaitwa amos nyanda ni nani hasa?

Jamaa ana madini sana aisee na kati vijana ambao miaka kadhaa watafika mbali sana.

Mshikaji yupo vizuri sana kule X anatoa madini sana ya sales na copywriting inshort mshikaji ni noma na hatari sana
 
Msukuma huyo, hawa jamaa wengi wako vizuri na wachapa kazi sana.
 
ana akaunti x ungemuuliza hukohuko sasa huku si umefata umbea tukikuambia yeye ni jini ukibisha sisi tukuchukulieje!
 
Unajitekenya mwenyewe, unajitia dole mwenyewe halafu unanusa mwenyewe.

JF siyo X kwa maboya wenzako, hapa umeshafanyiwa screening.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…