Hivi huyu Aristote anajihusisha na Saluni tu au Danguro lile?

Unakosea mkuu, hao ni sawa na akina Tunda kwa staili tofauti. Hao nao ni njia ya kusaka shillingi (market strategy)
Kwahiyo nao wapo sokoni kumbe
 
Usiseme wote. Wanaokubali kurecordiwa wanakata mauno ndo mapunguani. Wengine viuno vigumuuu wanajidhalilisha tu.
Sasa hivi mtu yuko radhi ajichange akanunue nywele kwa Aristote ilimradi apostiwe tu anakata viuno. Rubbish
Hivi wanawake mnakwama wapj ?

Serious ,unaenda nunua nywele wakati una nywele kichwani mwako .

Kwanini hizo gharama za malaki laki mtu afanye juhudi za kukuza nywele zake [emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…