Si uangalie kipindi kizima? Huangaliagi halafu unataka kujua! Au ndio mkumbo wa " mie sitazamagi tbc"? Acha uzembe tizama tv ya taifaHuwa namuona chef mmoja anaonekana kwenye kipindi cha jambo Tanzania kila asubuhi kwanye TBC...
Hawa jamaa huwa wanachekesha sana🤣🤣, halafu kwa akili yake anadhani akisema huwa haangalii TBC tutamuona ndio ana IQ kama ya EinsteinMnaovunga hamuangalii TBC ndiyo nyie wkt wa kombe la dunia mlishinda kwenye hiyo channel kutwa mzima leo mnaponda ahahhaaa.