Hivi huyu dada Joyce Kiria ana shida gani?

Nimeelewa vitu viwili..hii ndoa ilikua ishafeli sasa jamaa alichokifanya ni kuacha kila kitu na kuhama nyumbani...sasa kinachotokea ni frustration za aina nyingi kwa mwanamke maana baba hayupo, gharama zimekua kubwa na jamaa si kuwa hayupo ila pia yupo kimya...ndio maana Joyce anaongea kila mahali maana anahitaji msaada ila hajui aupate wapi, na anaomba aachiwe biashara zake kama biashara nizake kwann aombe aachiwe? Hii ina maana kwamba hizo biashara kafunguliwa na mumewe...kwasasa sina cha kumshauri maana hataelewa...huyo kileo atakua anakaa lodge na hela si anayo ...atatafuta katoto kadogo kakutumbua nae..watoto wake watakua wanateseka mno ila kila akimkumbuka mke atakua anaenda mbali zaidi...natamani ningepata nafasi ya kuwashauri wote...tatizo kileo yupo kimya..hujui na yeye yamemsibu yapi...wanaume wana koromeo...poleni watoto poleni sana...nakaribisha PM kwa ushauri zaidi
 
Mwanamke nyoko sana huyu aisee...kama tukiwa tunaanikana mitandaoni hivyo si zitakuwa vurugu
 
Huyu mwanamke anakosea kuyaanika haya. Je vipi huyu anaeng'ang'ania mali za familia wakati watoto wanahitaji kuishi?
Kuna wanaume wanaachana na wake zao wanaacha magorofa for the sake of the kids.
Kuna njia za kufikia suluhisho la haya anayoyasema.

Kama washaamua kuachana kinachofuata ni kugawana mali, mali huwa hazigawanywi instagram hiyo ni kazi ya mahakama.

Kwa kazi anayofanya atakua amefikia lengo la kuwaonesha na kuwafundisha wanawake wenzake suluhisho la mwanaume mng'ang'ania mali bila kujianika instagram.
 
Nimeanza na kusema 'huyu mwanamke anakosea'.......sasa hapa ndio inabidi mwanaume aoneshe tofauti yake na huyu mwanamke. Wagawane mali gani na huyo alikuwa analelewa tu. Mali za huyo dada mropokaji. Ukikubali kulelewa kuwa mpole.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…