Hivi huyu Dorah ni mtoto au mkubwa ?

Hivi huyu Dorah ni mtoto au mkubwa ?

Mtu mzima huyo, sickle cell ndio ugonjwa uliomfanya adumae kwa (mujibu wa maelezo yake).

Anajihusisha na uigizaji pia ni mama.
 
Dooh namuonaga onaga tu mitandaoni.....lkn sifaham kuhusu umri wake.....wajuzi watujuzi......ingawa kufaham umri sahihi wa mtu sio inshu ndogo
 
Watu wakisikia mtu mzima wengi wanashindwa kuekewa utuuzima wa level gani.

Huyo umri wake ni around 21 up to 22 mpaka 23 ndio utuuzima unaozungumziwa mkuu na sio mtu mzima mmama hapana.
 
Hakuna mtu mwenye tabu huku ulimwenguni kama mwafrika, lakini pamoja na tabu zote anazopitia maishani akifa hapumziki, anatakiwa tena awe mzimu wa kutatua matatizo ya ukoo wake.

Afrika tabu sana [emoji15]

🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom