Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
- Thread starter
-
- #21
Huyo hata kama angekuwa mtu mzima kwa kimo chake kilivyo kuzaa asingeweza.Ni mtu mzima huyo.. Type ya akina taidi mdegela ila ye yuko tofauti
Na ana watoto wakubwa kazaa
Kama humjui ,humjui wewe.Unapokuja na habari kama hii kama vile wote tunamjua ni upopoma.. Ungetuwekea biography yake
Weka wa kwako ambao haujakaa kiboya.Bora unisaidie, analeta Uzi kiboya boya!
Watudwarf
Ana watoto wangapi!? Na mumewe yukowapi!?Mtu mzima huyo, sickle cell ndio ugonjwa uliomfanya adumae kwa (mujibu wa maelezo yake).
Anajihusisha na uigizaji pia ni mama.
Huyo hata kama angekuwa mtu mzima kwa kimo chake kilivyo kuzaa asingeweza.
Ana watoto wangapi!? Na mumewe yukowapi!?
Kwani ukifanana na mtoto ni kigezo cha kukufanya useme huyo mtoto ni wako?Mi mbona nliona anapost watoto wanefanana nae
Ni mtu mzima huyo.. Kuna ugonjwa umemfanya adumaeUna uhakika au umesikia stori za vijiweni?
Huyo hata maziwa hana ,hao watoto wananyonya nini??Niliwahi ona wawili.. Mume simjui
Una uhakika??Ni mtu mzima huyo.. Kuna ugonjwa umemfanya adumae
Hakuna mtu mwenye tabu huku ulimwenguni kama mwafrika, lakini pamoja na tabu zote anazopitia maishani akifa hapumziki, anatakiwa tena awe mzimu wa kutatua matatizo ya ukoo wake.
Afrika tabu sana [emoji15]
Una uhakika??
Mpaka leo bado hujawazoea bongo muvi?
Ya kopoHuyo hata maziwa hana ,hao watoto wananyonya nini??
πππππHuyo hata maziwa hana ,hao watoto wananyonya nini??
Ukweli ni kwamba usiyaamini sana maneno wala matendo ya wasanii wa bongo muvi kwa sababu asilimia kubwa ya maneno yao au matendo yao huwa ni feki ili wapate attention kubwa.Haha sasa ukweli ni upi hapo?