Hivi huyu Dorah ni mtoto au mkubwa ?

Ana watoto wangapi!? Na mumewe yukowapi!?
Huwa kanajali privacy sana kale , nimewahi mtimbia DM anajibu vizuri ila likija suala la mme au mtoto anabadilika. Aliwa wahi mpost mmoja ila sijui in detail anao wangapi!
 
Weitaaaa! Niongezee K vant ndogo na bitter lemon baridi[emoji41]
 
Hakuna mtu mwenye tabu huku ulimwenguni kama mwafrika, lakini pamoja na tabu zote anazopitia maishani akifa hapumziki, anatakiwa tena awe mzimu wa kutatua matatizo ya ukoo wake.

Afrika tabu sana 😳
hahahaha
 
Hakuna mtu mwenye tabu huku ulimwenguni kama mwafrika, lakini pamoja na tabu zote anazopitia maishani akifa hapumziki, anatakiwa tena awe mzimu wa kutatua matatizo ya ukoo wake.

Afrika tabu sana [emoji15]
[emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Binti ni mkubwa huyo kiasi sasa hivi Ana miaka 23 au 22 kama sikosei, anasoma dsj
 
Hakuna mtu mwenye tabu huku ulimwenguni kama mwafrika, lakini pamoja na tabu zote anazopitia maishani akifa hapumziki, anatakiwa tena awe mzimu wa kutatua matatizo ya ukoo wake.

Afrika tabu sana [emoji15]
Duh! Unazingua mkuu
 
She is very smart katika kuongea. Matured and genuine. Bravo to her. Atafika mbali sana huyu kimaisha.
Wakuu ni kwamba sicle cell huwa inadumaza na wengi huwa wanakufa mapema sana kama wasipopata matibabu. Huwa ni ugonjwa hereditary hivyo hauponi kirahisi hivyo. Hata yeye amesema aliweza tu kufika alipo sasa na miaka 23 baada ya kuchukuliwa na masista wakaweza kumpatia dawa kwa kuwa wazazi hawakuwa na uwezo.

Ila kuna dawa za kienyeji pia huwa zinapunguza makali au kutibu kabisa kama ukiwahi na kuwa na bahati pia.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mmh nimecheka sn
Hakuna mtu mwenye tabu huku ulimwenguni kama mwafrika, lakini pamoja na tabu zote anazopitia maishani akifa hapumziki, anatakiwa tena awe mzimu wa kutatua matatizo ya ukoo wake.

Afrika tabu sana [emoji15]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…