Hivi huyu Issa Tambuu huwa mnamuelewa?

Inasemekana ni tajiri
Lkn mbona hajakaa kama tajiri,kuchekacheka hovyo,kushinda na mateja muda wote, nguo habadilishi.
Yani sioni kama kuna tajiri pale,labda mniambie yeye ni msimamizi tu ila mwenye mali yuko pembeni.
ama

ama kwa hakika,
weak minds merely gossip about other people 🐒
 
Nmebahatika kuwa karibu na matajiri wakubwa, mtu anamiliki pesa ndefu ila anaishi kawaida kabisa bila kuwa na ukaribu nae huwezi dhani kama pesa ipo.

Nilichojifunza kwa hawa watu ni ibada na kuchapa kazi na kuheshimu kile kinachokupa kipato kila iitwapo leo. Hawafake life wanaishi uhalisia wao ila sisi wengine tukipata tu kidogo tunabadilika mpaka kila mtu ajue.
 
Inasemekana ni tajiri
Lkn mbona hajakaa kama tajiri,kuchekacheka hovyo,kushinda na mateja muda wote, nguo habadilishi.
Yani sioni kama kuna tajiri pale,labda mniambie yeye ni msimamizi tu ila mwenye mali yuko pembeni.

Mazingira hayo ndo yamempa utajiri, anaishi maisha mazuri sana, hayo Maisha unayoishi mpaka Leo unakaa kwa Shemeji, yake ya kucheka cheka, ni tajiri sasa
 
Kuna

Tajiri
MTU mwenye pesa nyingi

Mara nyingi Matajiri Tanzania hapa wapo wachache Ila wenye hela nyingi ndo wengi.

Utajiri ni Kama Unaona Dr mengi , Bakhressa , MO n.k
 
Kaka mtu anaemiliki lori zaidi ya 500, makampuni na mali nyingine huyo ni tajiri.
Unaweza kuwa sahihi Ila concept itabaki ile ile kuwa Matajiri Tanzania ni wachache Sana Ila wenye hela nyingi hao wapo wengi Sana .

Na MTU akifika viwango vya Kuwa tajiri anakuwa tofauti na hawa wengine ambaye akifa tu mali zote zinamfata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…