Hivi huyu Issa Tambuu huwa mnamuelewa?

Hivi huyu Issa Tambuu huwa mnamuelewa?

Inasemekana ni tajiri
Lkn mbona hajakaa kama tajiri, kuchekacheka hovyo, kushinda na mateja muda wote, nguo habadilishi.

Yani sioni kama kuna tajiri pale, labda mniambie yeye ni msimamizi tu ila mwenye mali yuko pembeni.
Kama wewe ni mwanaume nina wasiwasi utakuwa ni kileja.Na kama Wewe ni wakike usituleteee habari za kimbea humu.Acha chuki na roho ya kimasikini Pumbavu zako
 
Mbona hilo jina lilivyotajwa km bom limelipuka sokoni. Siyo kawaida yetu humu mtu akitajwa maelezo yanafuata na stori zinaenfelea.
Mbona hamsemi huyo mtu mi nani? Kazi ya kumsakama mtoa mada tuu.
Haya tupeni maelezo huyo mtu ni nani? Na shughulu zake ni zipi?
 
Asubuhi hii wanaume umefungua uzi kumjadili mwanaume mwenzio.
Cha ajabu yeye yuko barabarani anapambana na foleni kwenda kazini😂😂
 
huyo sio tajiri ila ni kati ya vijana wenye pesa za kiwango cha kuridhika,tofauti na wengine kagoma kuridhika.anaendelea kutafuta kupitia njia ile ile iliyomfikisha alipo.
 
Tatizo kubwa la Mitanzania mishamba na mipumbavu imekariri kuwa Tajiri ni lazima awe Nadhifu kupita maelezo, ajionyeshe, awe na Vito vya thamani, awe Serious, asiwe Social na akiwa kinyume na hivi basi huyo ni Muongo, Tapeli au kawekwa tu kusimamia Mali za Watu.

Mwalimu Nyerere alisema hakuna Umasikini mbaya na wa Kuepukwa kama wa Akili (kuwa Mpumbavu) na huu Umasikini upo mno kwa Watanzania wengi na huwa unatanguliwa zaidi na Wivu wa kuona / ku.muona fulani Kafanikiwa kisha haraka sana tunaanza Kuwazushia kuwa ni Wauza Ngada (Unga) au ni Washirikina wa Kiswahili (Wachawi) au ni Washirikina wa Kizungu (Freemasons)
Huo umasikini wa akili hata wewe unao.
 
Inasemekana ni tajiri

Lakini mbona hajakaa kama tajiri, kuchekacheka hovyo, kushinda na mateja muda wote, nguo habadilishi.

Yani sioni kama kuna tajiri pale, labda mniambie yeye ni msimamizi tu ila mwenye mali yuko pembeni.
Ni tajiri wa kitu gani
 
Why are you gay
Inasemekana ni tajiri

Lakini mbona hajakaa kama tajiri, kuchekacheka hovyo, kushinda na mateja muda wote, nguo habadilishi.

Yani sioni kama kuna tajiri pale, labda mniambie yeye ni msimamizi tu ila mwenye mali yuko pembeni.
y
 
Anakuhusu kwa lolote au ndiyo kushindwa kujua kazi zako?
 
Back
Top Bottom