Kwan TAJIRI haruhusiwi kucheka......kwan TAJIRI ni lazima uvae NGUO MPY kila siku.......ni kwann unampangia mtu maisha ya kuishi je yy anakupangia ..........hii sio tabia nzuri ni dalili ya CHUKI na HUSDA kwa wengnInasemekana ni tajiri
Lkn mbona hajakaa kama tajiri,kuchekacheka hovyo,kushinda na mateja muda wote, nguo habadilishi.
Yani sioni kama kuna tajiri pale,labda mniambie yeye ni msimamizi tu ila mwenye mali yuko pembeni.
Sawa mkuuUnaweza kuwa sahihi Ila concept itabaki ile ile kuwa Matajiri Tanzania ni wachache Sana Ila wenye hela nyingi hao wapo wengi Sana .
Na MTU akifika viwango vya Kuwa tajiri anakuwa tofauti na hawa wengine ambaye akifa tu mali zote zinamfata
Hapana Mara nyingi hata sio hivyo Ila mifumo yao inakuwa haipo Kama taasisi inayoweza kujiendesha pasipo kumtegemea MTU mmoja pekeeSawa mkuu
Hao wa kufuatwa na mali zao ni wale wanaomiliki kwa ndumba au ?
Mawani ya Mbao umekuwa mkali ghaflaInakusaidia nini kumdiscuss mtu tena saa 10 usiku?
Pumbavu, muache aishi maisha yake.
Na ndio kwenye hilo ngozi nyeusi tunafeli sana.Hapana Mara nyingi hata sio hivyo Ila mifumo yao inakuwa haipo Kama taasisi inayoweza kujiendesha pasipo kumtegemea MTU mmoja pekee
Kweli ndo maana sisi wabantu huwa tunashauriwa tuwekeze katika real estate business Kama Majumba , viwanja. Mashamba kwakuwa huko ni rahisi kusimamia na sio tofauti na hapoNa ndio kwenye hilo ngozi nyeusi tunafeli sana.
Ndiyo kichaa kimeanza?Inasemekana ni tajiri
Lkn mbona hajakaa kama tajiri,kuchekacheka hovyo,kushinda na mateja muda wote, nguo habadilishi.
Yani sioni kama kuna tajiri pale,labda mniambie yeye ni msimamizi tu ila mwenye mali yuko pembeni.
Tatizo kubwa la Mitanzania mishamba na mipumbavu imekariri kuwa Tajiri ni lazima awe Nadhifu kupita maelezo, ajionyeshe, awe na Vito vya thamani, awe Serious, asiwe Social na akiwa kinyume na hivi basi huyo ni Muongo, Tapeli au kawekwa tu kusimamia Mali za Watu.Inasemekana ni tajiri
Lkn mbona hajakaa kama tajiri,kuchekacheka hovyo,kushinda na mateja muda wote, nguo habadilishi.
Yani sioni kama kuna tajiri pale,labda mniambie yeye ni msimamizi tu ila mwenye mali yuko pembeni.
Kusimamia mashamba Ni ngumu sana. Real estate inaweza kuwa rahisi.Kweli ndo maana sisi wabantu huwa tunashauriwa tuwekeze katika real estate business Kama Majumba , viwanja. Mashamba kwakuwa huko ni rahisi kusimamia na sio tofauti na hapo
Napo pia ukifa watoto,wajukuu wanauza wanaenda kuzinzi nazoKweli ndo maana sisi wabantu huwa tunashauriwa tuwekeze katika real estate business Kama Majumba , viwanja. Mashamba kwakuwa huko ni rahisi kusimamia na sio tofauti na hapo
AaaahNapo pia ukifa watoto,wajukuu wanauza wanaenda kuzinzi nazo
. Acha undezi, yule ni Mtoto wake siyo yeyeInasemekana ni tajiri
Lkn mbona hajakaa kama tajiri, kuchekacheka hovyo, kushinda na mateja muda wote, nguo habadilishi.
Yani sioni kama kuna tajiri pale, labda mniambie yeye ni msimamizi tu ila mwenye mali yuko pembeni.