Hivi huyu jamaa ni mzima kweli?

Hivi huyu jamaa ni mzima kweli?

Venant Ben

Senior Member
Joined
Nov 29, 2010
Posts
155
Reaction score
10
mi naomba kuuliza,maana kwa mtazamo wangu nahisi huyu jamaa anamatatizo fulani,umri,matendo na maneno yake haviendani kiabisa!!
 

Attachments

  • Yusuf Makamba.jpg
    Yusuf Makamba.jpg
    21.5 KB · Views: 215
  • index.jpg
    index.jpg
    9.7 KB · Views: 427
Sina la kusema maana mleta mada hajasema tujadiri nini. Kunyatia birian ni kila mtu ananyatia wakt ukifika, kusikiliza hotuma sote twafanza, sasa weye wataka tujadiri nini hapa, leta hoja tafadhari.
 
Ujue angejigundua kipaji chake mapema jamaa anafit sana kuwa religous commedian ka mchungaji au shekhe flani.cheki alivyo kikitukokituko.duh?kweli wounders never seeze on earth.
 
Makamba ana akili sana jamani mwacheni maana ndiye anayechangia kwenye mageuzi mnayoyaona sasa. Amefanikiwa kuwakorogo ndani ya CCM, ameweza kutamka vitu vyake binafsi kwa mawazo yake na watu tumeyataja kama mawazo ya chama na hivyo chama kudharaulika sana hata na watoto wa std VII
 
attachment.php


Nasikia anategemea kujiuzuru ukatibu mkuu wa ccm siku chache zijazo baada ya kuikoroga sana. Kuondoka kwake kutaanziasha mageuzi ndani ya ccm
 
si mzima alishazeeeka kila kiungo mpaka akili ila ndio hivyo kibongobongo
 
Back
Top Bottom