King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Bora iwe.Oya wana kibaha eeeh!! Em njooni apa.
Hivi hii ndio finest yenu?
Yani kibaha nzima hakuna msanii wa maana mkaamua mtuletee huyu maarifa??
Ana maarifa gani? Anaimba utumbo gani?
Kuna mtu anamuelewa kabisa huyu jamaa wa kujiita maarifa?