Hivi huyu Joti huwa anawachekeshaje watu?

Mi naonaga tu ana maneno mengi lakini sioni uchekeshaji wowote. Yupo kama Kevin Hart, umachachari mwingi lakini content hamna.

Sasa hapa lengo lilikuwa kuchekesha, japo kazingua hapo kuingiza katiba lakini hata kuchekesha kwenyewe hakupo.

Huwa anawachekeshaje?

Hamna kitu hapo,,
 
Ukitaka kucheka labda mtafute king'wendu huyu ameshaishiwa
 
Yaani Joti na kingwendu ni ushamba unawasumbua
Ubunifu wao ni kuwaza ngono tu
Imagine joti anapanda bus eti yupo nyuma ya dem mpaka anautupa

Je watoto wake au wajukuu zetu wanamuonaje mshenzi au mchekeshaji

Bora hata Steve mweusi [emoji1] [emoji1787]
Sasa kingwendu baba Zima lina act mbali na maadili kabisa

Yaani x rated na huwezi kuangalia watoto wakiwepo
 
Nakuunga mkono,. Jirani zetu wakenya wametukalisha sana kwenye hiki kipengele. Njugush is the best to me.. you can explore him when you've time mkuu
Asaa Njugush hata asipo kua na content lazima utacheka tu [emoji3][emoji3][emoji3], pia ukitaka ujue hicho kijamaa huwa kinatulia kwenye kazi zake, angalia matangazo yake yametulia balaa.

Namna anavyo zitangaza bidhaa jumlisha na utani unalipenda tangazo.
 
Mi naonaga tu ana maneno mengi lakini sioni uchekeshaji wowote. Yupo kama Kevin Hart, umachachari mwingi lakini content hamna.

Sasa hapa lengo lilikuwa kuchekesha, japo kazingua hapo kuingiza katiba lakini hata kuchekesha kwenyewe hakupo.

Huwa anawachekeshaje?

Huwa hana content, anategemea michoro ya usoni, mavazi yale malapulapu oversize na kuvaa nguo za kike, mawigi na manyonyo ya kupachika.
Kuvaa kikawaida, aongee kwa lafudhi ya kawaida ndipo utajuwa kuwa contents kwake ni mtihani mkubwa.
Afanye jitihada atafute content creators.
 
Mi naonaga tu ana maneno mengi lakini sioni uchekeshaji wowote. Yupo kama Kevin Hart, umachachari mwingi lakini content hamna.

Sasa hapa lengo lilikuwa kuchekesha, japo kazingua hapo kuingiza katiba lakini hata kuchekesha kwenyewe hakupo.

Huwa anawachekeshaje?

Anataka ute uzi
 
Asaa Njugush hata asipo kua na content lazima utacheka tu [emoji3][emoji3][emoji3], pia ukitaka ujue hicho kijamaa huwa kinatulia kwenye kazi zake, angalia matangazo yake yametulia balaa.

Namna anavyo zitangaza bidhaa jumlisha na utani unalipenda tangazo.
In short, he's gifted
 
Mi naonaga tu ana maneno mengi lakini sioni uchekeshaji wowote. Yupo kama Kevin Hart, umachachari mwingi lakini content hamna.

Sasa hapa lengo lilikuwa kuchekesha, japo kazingua hapo kuingiza katiba lakini hata kuchekesha kwenyewe hakupo.

Huwa anawachekeshaje?

Umemjaji kwa clip moja tu kwa sababu akili yako imetawaliwa na siasa za Chadema[emoji38]
 
Back
Top Bottom