Hivi huyu kijana wa CHADEMA ni msaidizi wa Mwabukusi? Ameenda Dodoma kama nani wakati sio wakili?

Tatizo ni chama changu pendwa kutaka kuweka pandikizi lao, Mwabukusi ni mtu sahihi wa kutuhenyesha kwa miaka mitatu. Yule suupiiika anafanya kila namna Mwabukusi aangukie pua, kwani kwake haitokuwa habari njema hata kidogo.
Kwani watu wakiamua kumchekecha atatoboa? Anadhani wote wa TLS ni chadema? TLS itabomolewa na itakuwa mapande mawili yanayosigana
 
Tatizo ni chama changu pendwa kutaka kuweka pandikizi lao, Mwabukusi ni mtu sahihi wa kutuhenyesha kwa miaka mitatu. Yule suupiiika anafanya kila namna Mwabukusi aangukie pua, kwani kwake haitokuwa habari njema hata kidogo.
Amechelewa
 
Support tu,ni sawa na mwenzio akiwa na jambo lake ukaamua kwenda kumpa kampani..........
 
Chawa wapo kila sehemu sema tu wanatofautiana majina kutokana na sehemu wanakopatikana.
KWELI LKN KUNA CHAWA WANAOJIKOMBA KWA WATAWALA DUNIANI KAMA CHAWA WA ISREAL HUMU JF NA CHAWA WANAOPIGANIA HAKI ZA WASIOJITAMBUWA . SASA HUYU INAOENAKANA CHAWA WANAOPIGANIA HAKI ZA WASIOJITAMBUA KAMA WEWE. CHAWA HAWA KIDOGO HUWA MAJASIRI. LKN CHAWA WENGINE WAO WANAJIKOMBA NA WAPO TAYARI KUUMIZA WENZAO ILI APATE DAMU
 
Asipokuelewa huyo mleta mada basi tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…