Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,168
- 39,118
Mwabukusi si mwanataaluma ya uwakili?mawakili watakuwa wapumbavu kuruhusu mwabukusi kuwa kiongozi wa chama cha kitaaluma kama TLS
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwabukusi si mwanataaluma ya uwakili?mawakili watakuwa wapumbavu kuruhusu mwabukusi kuwa kiongozi wa chama cha kitaaluma kama TLS
Kwani watu wakiamua kumchekecha atatoboa? Anadhani wote wa TLS ni chadema? TLS itabomolewa na itakuwa mapande mawili yanayosiganaTatizo ni chama changu pendwa kutaka kuweka pandikizi lao, Mwabukusi ni mtu sahihi wa kutuhenyesha kwa miaka mitatu. Yule suupiiika anafanya kila namna Mwabukusi aangukie pua, kwani kwake haitokuwa habari njema hata kidogo.
Kama ulivyo mpumbavu kwa kuandika upumbavu wakomawakili watakuwa wapumbavu kuruhusu mwabukusi kuwa kiongozi wa chama cha kitaaluma kama TLS
Unge specify watu wa kucommentAcha kudandia gari kwa mbele
AmechelewaTatizo ni chama changu pendwa kutaka kuweka pandikizi lao, Mwabukusi ni mtu sahihi wa kutuhenyesha kwa miaka mitatu. Yule suupiiika anafanya kila namna Mwabukusi aangukie pua, kwani kwake haitokuwa habari njema hata kidogo.
Akishinda itakuwa habari njema, nijongee kabisa Mbeya pazuri.Amechelewa
Jioni ni mwendo wa kula bia kupongezanaAkishinda itakuwa habari njema, nijongee kabisa Mbeya pazuri.
Matokeo yanikute jirani na eneo la tukio.Jioni ni mwendo wa kula bia kupongezana
Kula bia mkuuMatokeo yanikute jirani na eneo la tukio.
KWELI LKN KUNA CHAWA WANAOJIKOMBA KWA WATAWALA DUNIANI KAMA CHAWA WA ISREAL HUMU JF NA CHAWA WANAOPIGANIA HAKI ZA WASIOJITAMBUWA . SASA HUYU INAOENAKANA CHAWA WANAOPIGANIA HAKI ZA WASIOJITAMBUA KAMA WEWE. CHAWA HAWA KIDOGO HUWA MAJASIRI. LKN CHAWA WENGINE WAO WANAJIKOMBA NA WAPO TAYARI KUUMIZA WENZAO ILI APATE DAMUChawa wapo kila sehemu sema tu wanatofautiana majina kutokana na sehemu wanakopatikana.
Asipokuelewa huyo mleta mada basi tenaMkuuu Mbona hata wewe unaweza kwendaa mkuuuu ,kumbukumbu tuu huyu jamaaaa ameshawai kuwa na kesi nyingi naaa amesimamiwa kesi zake na Wakili Mwabukusu so kuwa hapo ni sehemu tuu ya kumuunga mkona wakili wakee ,
Mfano Lowasa alipofariki yupo mama alisafiri kutoka Shinyanga hadi msibani kwa kusema amesadiwa kusomesha watoto na Lowasa so just to support mtu wako na kuappriciate kazi yake
Una maana watu wote wanaokwenda Dodoma lazima wawe mawakili??
Mkuu, kweni vipi mbona unajizalilisha kwa matamshi yako? Calm down.mawakili watakuwa wapumbavu kuruhusu mwabukusi kuwa kiongozi wa chama cha kitaaluma kama TLS
Mkuu, hivi kutokana na hali iliyopo sasa hivi, weweunaweza kutembea mwenyewe kweli, mimi naamini kwamba kama ukitembea mwenyewe basi wewe hauna impact kwa Nchi kwa haya yanayo endelea.
Ulitaka uende naye wewe??