Hivi huyu Komando Jide mbona yupo hivi lakini?

best kuna binadamu hana shida dunia hii, hata asipokuwa nayo leo hajui kesho itakuwaje!!!
DEMBA hawa mashabiki wa namna hii ndio wanao mfanya Jide avimbe kichwa hata kwenye ujinga.
Yani dharau alizozifanya sitokaa nisahau,yani watu tumempigia kura af ana jifanya heti ajui kama tunzo zimefanyika.

Hakika amenikera sijawai kuona,dharau zimezidi na wakumnyoosha ni sisi mashabiki wake kwa kumwambia ukweli.

Sijui kwanini hayupo kwenye hiyo list lakini sidhani kama sababu ni hiyo.Maana mwaka jana si wasanii wote waliperfom,kwa hiyo si shangai yeye kukosa maana si lazima awepo.
 
Last edited by a moderator:
Umeoneaha chuki sa wazi wazi au weee ndo alokujibu ile tweet
Hakuna chuki hapo huo ndio ukweli, amevimba kichwa na lazima aambiwe. Wanao lalamika nao ni washabiki wake.
Yeye anajiona Mrs right.
 
Kuna mdada pale mawingu fm ana jina kama lako hilo la mwisho..nakumbuka kwenye ule uzi wa mastaa wasio na madem ulifunguka kweli kweli,...kila nikona comment yako namkumbuka bibie!

Mmh hapo mawingu penyewe nimepajulia mwaka jana baada ya kuja dar kusoma chuo kikuu tena napita tu kwa nje ile njia ya kawe. Hata sina uhusiano na hao watu na hata simjui hata mmoja wa pale mjengoni.
 
Sio kila mmoja ana nafasi ya kumjua Jide personally...lakini wengi wetu kwa mamilioni tunamjua kwenye media..kwa hiyo ni bora a'behave kwenye media tunakomjua wengi kuliko wenye bahati ya kumjua personally.

Kuwa nyenyekea watu wa media hata kama wanakunyonya au wanakutumia kwa maslai yao binafsi kama ilivyotuzo za kili ndo kubehave.?
 
Hii kil tour mwaka huu inasimamiwa na Clouds media group na kila mtu anajua jay dee na Clouds wakoje!!! Kil tour zilizopita zilikuwa zinasimamiwa na IPP ya mengi ndio maana jay hakukosamo pale tu aliposhinda tunzo, mie wala sishangai sababu Bifu At work!!
 

Personally yuko poa..
 
Nyie watu wa Clouds na Mwanafatuma wenu kwanini hamchoki kumfuatafuata Jaydee?


Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Hivi kwanini unafikiri kila anaye mkosoa ni mtu wa clouds?
 
Your wrong!
Kili tour inasimamiwa na Eatv na ni moja ya vituo vya ipp.Na walitangaza mikoa kumi watakayo pita.

Kukosa kwa jide kunaweza kusiwe na uhusiano na tweet yake maana si lazima kila mwaka ashiriki.

Ila lazima tukubali Jide ana matatizo sana.
 

Umenena ryt si mfagilii au kumsifia mapungufu ya Jide ila siwezi kuconclude kwa hii issue ya Kili coz Jide hajaanza mwaka huu kuhudhuria tuzo tangu 2008 kurud nyuma alikuwa haudhurii kuna something behind, watu wasipende kuhukumu kabla ya kumsikia yeye ana nini la rohoni mwake.
 
Pesa na dharau siyo. Sema ni mjanja amekuwa katika ujasiramali hivyo muziki wake ukichina ana pa kushika. Shida iko kwa wale chumia tumbo wasanii wasiokuwa na kitega uchumi au project nyingine. Kitu ambacho kinawakasirisha radio mawingu.
 

Wee jamaa nimefatilia comment zako nimegundua humpendi jay dee Ila kubali ukatae sidhani kama ile tweet ndio ilimfanya asiwepo kil tour alafu hakutweet ila alimjibu mtu alie muulizaga kwann hakuwepo sikuwa ya tunzo? Je utajuaje kama alikuwa anamtania?
 

Hata mimi hapo ndio nashangaa watu wanaanza kuhukumu bila kujua ukweli!!!!
 
Ruttashobolwa watu we waache waitwe watu tu leo hawamwambii mapungufu yake ili ajirekebishe siku akipotea watakaa pembeni tu. Mi nashangaa kwa nini hatuna tabia ya kukosoana mi nimshabiki wake sana na huwa sikosi hata kuangalia show yake. Lakini siwezi kuacha kumkosoa anapokosea kiroho safi tu.
 
Last edited by a moderator:
Jamani Tanzania hii kuna Wasanii wangapi? Kwani lazima aende Jide? Kwanini usilalamike vijana wengine kuroshilikishwa?? mfano Young Dee Shetta Stamina na wengine Kibao tuu kwa nini hulalamiki Profesa Jay Kishilikishwa kwenye Kili Misic Tour miaka miwili mfululizo wakati kuna underground hawana hela za kurudia tena Studio kisa tu hawapati Show za kuwaingizia kipato
 
Muhimu ni kumuuliza mwenyewe why haudhurii show za kili ili mjue lake la moyoni kuliko kumuhukumu humu bila majibu. Yupo tweeter muda mwingi nivema mkauliza kulikoni, kuliko kuconclude kuwa anadharau ihali hatuhujui reason.. Ingekuwa dharau ya tuzo mbona za nje anashiriki.... Kama anaziona sio fair basi ni vema kumshaur aanzishe zake fair maana hizi zilianzishwa na marehemu Dandu r.i.p
 
Your too wrong!
Mimi ni mshabiki wa Jide, na kama kweli unafatilia comment zagu utagundua kuwa nimekerwa na Jide baada ya Tunzo za Kili.

Hile tweet haikuwa ya utani na mshabiki wake alimuuliza kwa upendo na heshima.

Nilimpigia kura na sikuanza leo mana nakubali kipaj chake.

Lakini kwa dharau zile amevimba kichwa sana.
 
Kwanini asijitoe?
Kwanini ana tuma wawakirishi kumchukulia tunzo?

Kwanini alikubali kushiriki Kili tour?

Huko tweeter si ndio alikomjibu mtu kuwa hajui kama tunzo zimefanyika?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…