Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
DEMBA hawa mashabiki wa namna hii ndio wanao mfanya Jide avimbe kichwa hata kwenye ujinga.best kuna binadamu hana shida dunia hii, hata asipokuwa nayo leo hajui kesho itakuwaje!!!
Yani dharau alizozifanya sitokaa nisahau,yani watu tumempigia kura af ana jifanya heti ajui kama tunzo zimefanyika.
Hakika amenikera sijawai kuona,dharau zimezidi na wakumnyoosha ni sisi mashabiki wake kwa kumwambia ukweli.
Sijui kwanini hayupo kwenye hiyo list lakini sidhani kama sababu ni hiyo.Maana mwaka jana si wasanii wote waliperfom,kwa hiyo si shangai yeye kukosa maana si lazima awepo.
Last edited by a moderator: