Wrote wanao mponda komando,wana wivu tu kwanza kiwango chake ni cha kimataifa hababaishwi name vituzo vya kuuzia magazeti.
Kwanini asijitoe?
Kwanini ana tuma wawakirishi kumchukulia tunzo?
Kwanini alikubali kushiriki Kili tour?
Huko tweeter si ndio alikomjibu mtu kuwa hajui kama tunzo zimefanyika?
Haya ni maswali ya msingi sana.Mbona huwa anamtuma mume wake akamchukulie,na juzi akamtuma CHOKA?
Akatae kama Ally Kiba
hata mimi niliangalia kwa kweli nikawa disappointed sana, mtu wamemuheshimu wakamualika kama mgeni ameshindwa hata kuandaa speech kama mgeni rasmi!! mimi ni shabiki wake sana lakini anaboa kweli yule dada...
Si lazima kushiriki kili tour au fiesta.Tour ni tamasha kama fiesta mbona hamuoji kuwa kwanini haudhurii fiesta.
you have said it alljide anapaswa kuheshimu mashabiki wake...na wapotoshaji waache kumshauri vibaya ili aendeleze kiburi...
Kama ana matatizo na waandaaji wa tuzo bado hana sababu ya kuhamishia matatizo kwa mashabiki wake.......
Kuuliza kuwa tuzo zimeshafanyika ? Ili hali alipigiwa kura na kusubiriwa na mashabiki wake ili kushare naye furaha ya kupata tuzo...ina maana alimaanisha waliompigia kura na kumsubiri wamuone jukwaani hawakuwa na kazi ya kufanya... Haikuwa uungwana hata kidogo...
Angeonyesha uungwana hata mara tu baada ya zile tuzo kwa kuwashukuru mashabiki na kuomba radhi kwa kutokuwepo ukumbini...na kama angeona inafaa pia angeweza kuweka wazi kuwa labda haridhishwi na waandaaji wa kili music awards.
Walisema waswahili......heshima ni kitu cha bure.....
dharau iko wapi hapo!
Una ukaribu na Jide ww au unahadaika na mbwembwe za media!
Iyo ni mwendelezo wa bifu lake na clouds komando namkubari sana inabidi wasanii waige mfano wake sio kuwanyenyekea hao wanao kill mziki wa bongo
Asante mkuu kwa kuleta nukuu ambayo itanogesha mjadala.Tunaposema ana dharau tuna hoja ya msingi hatukurupuki. Mbona wakati wa tunzo alikwenda kumchukulia Dj Choka na akasema maneno haya naomba kumnukuu "Dada yupo nyumbani kama kawaida tupo hapa kwa niaba yake tunashukuru wapenzi wote mwisho akasema team anaconda. Kama siku ya pili anasema twitter hajuwi kilichofanyika tusema dj choka hakutumwa sasa yale maneno yake yanatoka wapi? Dj choka. Sasa hii kama si dharau kitu gani.
Your too wrong!
Mimi ni mshabiki wa Jide, na kama kweli unafatilia comment zagu utagundua kuwa nimekerwa na Jide baada ya Tunzo za Kili.
Hile tweet haikuwa ya utani na mshabiki wake alimuuliza kwa upendo na heshima.
Nilimpigia kura na sikuanza leo mana nakubali kipaj chake.
Lakini kwa dharau zile amevimba kichwa sana.
Uwe unafatilia mambo sio unaandika bila uhakika.
Sasa clouds wameingiaje hapo wakati waratibu wa Kili tour ni EATV na EARADIO?
Acheni kila jambo kuwa singizia clouds Jide ana matatizo.
Mkuu FYATU umenena.Jide anapaswa kuheshimu mashabiki wake...na wapotoshaji waache kumshauri vibaya ili aendeleze kiburi...
Kama ana matatizo na waandaaji wa tuzo bado hana sababu ya kuhamishia matatizo kwa mashabiki wake.......
Kuuliza kuwa tuzo zimeshafanyika ? ili hali alipigiwa kura na kusubiriwa na mashabiki wake ili KUshare naye furaha ya kupata tuzo...ina maana alimaanisha waliompigia kura na kumsubiri wamuone jukwaani hawakuwa na kazi ya kufanya... haikuwa uungwana hata kidogo...
Angeonyesha uungwana hata mara tu baada ya zile tuzo kwa kuwashukuru mashabiki na kuomba radhi kwa kutokuwepo ukumbini...na kama angeona inafaa pia angeweza kuweka wazi kuwa labda haridhishwi na waandaaji wa Kili music awards.
walisema waswahili......HESHIMA NI KITU CHA BURE.....
Hapo kwenye Red umeniacha hoi. Tuache ushabiki kipofu,tufungue macho.Mim ni shabiki wake ata anikatae mim ntaendelea kumshabikia kwanza hana njaa kama hao wasaniii wenu na kama anakukera acha kumshabikia kwani kakulazimishaaaaa et ohoooo dharau si zake wee zinakuhusu ukiona aumwelewi basi amia kwa wengine miwatu Sijui ikoje wakiona mtu kafanikiwa basi mnaanza kutengeneza majungu
Mimi si mshabiki kipofu.Hata ya chadema ulianza hivi hivi. Huwa hujielewi wewe.
Your too wrong!
Mimi ni mshabiki wa Jide, na kama kweli unafatilia comment zagu utagundua kuwa nimekerwa na Jide baada ya Tunzo za Kili.
Hile tweet haikuwa ya utani na mshabiki wake alimuuliza kwa upendo na heshima.
Nilimpigia kura na sikuanza leo mana nakubali kipaj chake.
Lakini kwa dharau zile amevimba kichwa sana.
Asante sana matumbo ni kweli ni mekerwa na kusononeshwa na zile dharau za Jide.Ruttashobolwa pole sana...naona Jide kakuumiza sana,,mie nachokushuri uache kuwa mshabiki wake ili usizidi kuumia......sababu ataendelea kufanya maamuzi yake sio yako...ilimradi yawe ya msingi kwake na sababu zake.
Kwanini asijitoe?