Deo Corleone
JF-Expert Member
- Jun 29, 2011
- 17,006
- 13,281
kwani lini alijiunga?
Na juzi alimtuma house boy wake Choka akamchukulie na pale alisema ametumwa na Dada.
haka ka bishosti huwa nakashangaa sana. Sijui hii jeuri kanaitoaga wapi'
Orodha ya wasanii watakaoshiriki
kwenye Kili Music Tour 2014 imetangazwa leo. Mwaka huu zaidi ya wasanii 30 watashiriki katika ziara hiyo kwenye mikoa zaidi ya 10 nchini itakayoanza Mei hadi Septemba 2014. Wasanii hao ni pamoja na Diamond, Ommy Dimpoz, Linex, Proffesor Jay, Izzo Biznes, Kala Jeremiah, Fid Q, Snura, Weusi, Ben Pol, Mzee Yusuph, Shilole na Mwasiti.
Wengine ni Nay wa Mitego, Mwana FA, Khadija Kopa, Juma Nature, Warriors From the East, Madee, Young Killer, Jambo Squad, AY,
Vanessa Mdee, Mashujaa Band, Rich Mavoko na Christian Bella.
Hata hivyo Lady Jaydee aliyekuwepo kwenye ziara hiyo mwaka jana, ameondolewa mwaka huu.
Chanzo kimoja kimeiambia Mpekuzi kuwa sababu ya kuondolewa ni ile tweet ya dharau aliyoiandika Lady Jaydee kuhusu kutokufahamu kama tuzo hizo zilifanyika. Chanzo hicho kimesema pia kuwa Roma alikuwa awepo kwenye ziara hiyo lakini ujuaji wake umemfanya apigwe chini.
eti kwenye twita kakajifanya hakajui kama hizo tuzo zimeshafanyika!...mweh! Ndo maana mawingu efu emu walikafungia vioo!
Hii kil tour mwaka huu inasimamiwa na Clouds media group na kila mtu anajua jay dee na Clouds wakoje!!! Kil tour zilizopita zilikuwa zinasimamiwa na IPP ya mengi ndio maana jay hakukosamo pale tu aliposhinda tunzo, mie wala sishangai sababu Bifu At work!!
Acha uwongo..mwakam huu pia EATV ina ratibu! acha kusema kitu usicho kijua!
na wewe qn of sheba hata ingekuwa vp usingeweza kukubali kuwa wewe ndiye yule binti wa mjengoni..yuko accounts nahisi...mjeuri huyo!
Alivyosma jide ni kweli hakuna tuzo hapa bongo na ndio maana aliuliza zilifanyika lini,mi naona kuna comedy tu ndio maana wengine walikuwa wansema wamehamia Mbezi beach ,wengine wakisema tuwapigie makofi wake zao,wengine wakitaka tusikilize rap zao,sasa si hiyo ndio comedy na baado usanii mwingi wa kuchagua washindi aka wauza face.
Pia kutoteuliwa kushiriki kwenye tamasha hakumfanyi Jide akose kipato,na tuache mawazo mgando kuwa kuwa ili mtu ufanikiwe lazima useme ndiyo kwa mtu/watu flani,wao sio Mungu bana,kama wao waliweza basi na Jide ataweza.

Umenichekeshajee hili swaliii lol we mbayaaaaas
Jibu zuriu hilii ila itanibidi niingie pm kwaajili yako unimegee kituu
Na yeye ni msanii pia
Kama kuzunguka mikoan atakuwa kachoka , maana toka mwaka 2000 had 2014 yeye ananyakua tuzo tu , kwanza ana mishe zake kibao na yupo arusha sasa ivi kweny sherehe ya miaka 50 ya NSSF na mh kikwete.
Halaf yupo busy na kuandaa ule wimbo utakao tumika kwenye world cup , so kama safar za mikoan wanaona dili kwa jide bado sana
Alivyosma jide ni kweli hakuna tuzo hapa bongo na ndio maana aliuliza zilifanyika lini,mi naona kuna comedy tu ndio maana wengine walikuwa wansema wamehamia Mbezi beach ,wengine wakisema tuwapigie makofi wake zao,wengine wakitaka tusikilize rap zao,sasa si hiyo ndio comedy na baado usanii mwingi wa kuchagua washindi aka wauza face.
Pia kutoteuliwa kushiriki kwenye tamasha hakumfanyi Jide akose kipato,na tuache mawazo mgando kuwa kuwa ili mtu ufanikiwe lazima useme ndiyo kwa mtu/watu flani,wao sio Mungu bana,kama wao waliweza basi na Jide ataweza.
kwani hasipohuzuria hiyo ziara atapungukiwa na nini?hao vilaza wanajiona wamewini kujumuishwa!
Fanya yako dogo, sio unafuka moshi hapa!
unajua kwenye hiyo tour huwa anaingiza shingapi??
mwee jina lako tu utata.
Upo apa kwa ajili ya kudeal na majina au umbea mkuu??
viroba ni janga la taifa mkuu. :A S cry:
Sasa unatak nikusaidie nn kwa mfano??