Hivi huyu Komando Jide mbona yupo hivi lakini?

Hivi huyu Komando Jide mbona yupo hivi lakini?

kwani lini alijiunga?

Alipoanza kupokea tuzo na kisha baadae kumtuma mumewe kwenda kumchukulia.

Na juzi alimtuma house boy wake Choka akamchukulie na pale alisema ametumwa na Dada.

Akatae tu kama Dully.
 
haka ka bishosti huwa nakashangaa sana. Sijui hii jeuri kanaitoaga wapi'

Orodha ya wasanii watakaoshiriki
kwenye Kili Music Tour 2014 imetangazwa leo. Mwaka huu zaidi ya wasanii 30 watashiriki katika ziara hiyo kwenye mikoa zaidi ya 10 nchini itakayoanza Mei hadi Septemba 2014. Wasanii hao ni pamoja na Diamond, Ommy Dimpoz, Linex, Proffesor Jay, Izzo Biznes, Kala Jeremiah, Fid Q, Snura, Weusi, Ben Pol, Mzee Yusuph, Shilole na Mwasiti.

Wengine ni Nay wa Mitego, Mwana FA, Khadija Kopa, Juma Nature, Warriors From the East, Madee, Young Killer, Jambo Squad, AY,
Vanessa Mdee, Mashujaa Band, Rich Mavoko na Christian Bella.

Hata hivyo Lady Jaydee aliyekuwepo kwenye ziara hiyo mwaka jana, ameondolewa mwaka huu.

Chanzo kimoja kimeiambia Mpekuzi kuwa sababu ya kuondolewa ni ile tweet ya dharau aliyoiandika Lady Jaydee kuhusu kutokufahamu kama tuzo hizo zilifanyika. Chanzo hicho kimesema pia kuwa Roma alikuwa awepo kwenye ziara hiyo lakini ujuaji wake umemfanya apigwe chini.

Wenye hizo tuzo ndio tatizo.
 
Hii kil tour mwaka huu inasimamiwa na Clouds media group na kila mtu anajua jay dee na Clouds wakoje!!! Kil tour zilizopita zilikuwa zinasimamiwa na IPP ya mengi ndio maana jay hakukosamo pale tu aliposhinda tunzo, mie wala sishangai sababu Bifu At work!!

Acha uwongo..mwakam huu pia EATV ina ratibu! acha kusema kitu usicho kijua!

na wewe qn of sheba hata ingekuwa vp usingeweza kukubali kuwa wewe ndiye yule binti wa mjengoni..yuko accounts nahisi...mjeuri huyo!
 
Last edited by a moderator:
Uelewa wa wasanii wa kitanzania kila mtu anaweza shinda tuzo

Sent from my Samsung Galaxy S5 4G LITE using JamiiForums
 
Alivyosma jide ni kweli hakuna tuzo hapa bongo na ndio maana aliuliza zilifanyika lini,mi naona kuna comedy tu ndio maana wengine walikuwa wansema wamehamia Mbezi beach ,wengine wakisema tuwapigie makofi wake zao,wengine wakitaka tusikilize rap zao,sasa si hiyo ndio comedy na baado usanii mwingi wa kuchagua washindi aka wauza face.
Pia kutoteuliwa kushiriki kwenye tamasha hakumfanyi Jide akose kipato,na tuache mawazo mgando kuwa kuwa ili mtu ufanikiwe lazima useme ndiyo kwa mtu/watu flani,wao sio Mungu bana,kama wao waliweza basi na Jide ataweza.
 
Kwahiyo unamaanisha mashabiki waliompigia kura na aliyesema ameagizwa kuchukua hiyo tuzo 'Dj Choka' walijipendekeza?
 
Acha uwongo..mwakam huu pia EATV ina ratibu! acha kusema kitu usicho kijua!

na wewe qn of sheba hata ingekuwa vp usingeweza kukubali kuwa wewe ndiye yule binti wa mjengoni..yuko accounts nahisi...mjeuri huyo!

I wish hata ningepata hata hapo reception mjengoni maana ulivyoning'ang'ania na hiyo kazi wakati bado nasugua gaga kitaa mwaka wa tatu huu unazidi kunipa hasira.
 
Last edited by a moderator:
Kama kuzunguka mikoan atakuwa kachoka , maana toka mwaka 2000 had 2014 yeye ananyakua tuzo tu , kwanza ana mishe zake kibao na yupo arusha sasa ivi kweny sherehe ya miaka 50 ya NSSF na mh kikwete.

Halaf yupo busy na kuandaa ule wimbo utakao tumika kwenye world cup , so kama safar za mikoan wanaona dili kwa jide bado sana

mwee jina lako tu utata.
 
Alivyosma jide ni kweli hakuna tuzo hapa bongo na ndio maana aliuliza zilifanyika lini,mi naona kuna comedy tu ndio maana wengine walikuwa wansema wamehamia Mbezi beach ,wengine wakisema tuwapigie makofi wake zao,wengine wakitaka tusikilize rap zao,sasa si hiyo ndio comedy na baado usanii mwingi wa kuchagua washindi aka wauza face.
Pia kutoteuliwa kushiriki kwenye tamasha hakumfanyi Jide akose kipato,na tuache mawazo mgando kuwa kuwa ili mtu ufanikiwe lazima useme ndiyo kwa mtu/watu flani,wao sio Mungu bana,kama wao waliweza basi na Jide ataweza.

unajua kwenye hiyo tour huwa anaingiza shingapi??
 
unajua kwenye hiyo tour huwa anaingiza shingapi??

Alitakiwa apate m75 , ila nadhan bibie hana shida nazo , anawez kuzipta kwa njia zake mwenyw nyingine, sasa kama mtu anamilik mgahawa wa mamillion ya shillings, magar ya kumwaga,nyumba na pesa juu kwake nadhan izo pesa hakuwa na shida nazo na jide hana njaa
 
Back
Top Bottom