Hivi huyu Komando Jide mbona yupo hivi lakini?

Hivi huyu Komando Jide mbona yupo hivi lakini?

Van gaal

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2014
Posts
265
Reaction score
107
haka ka bishosti huwa nakashangaa sana. Sijui hii jeuri kanaitoaga wapi'

Orodha ya wasanii watakaoshiriki
kwenye Kili Music Tour 2014 imetangazwa leo. Mwaka huu zaidi ya wasanii 30 watashiriki katika ziara hiyo kwenye mikoa zaidi ya 10 nchini itakayoanza Mei hadi Septemba 2014. Wasanii hao ni pamoja na Diamond, Ommy Dimpoz, Linex, Proffesor Jay, Izzo Biznes, Kala Jeremiah, Fid Q, Snura, Weusi, Ben Pol, Mzee Yusuph, Shilole na Mwasiti.

Wengine ni Nay wa Mitego, Mwana FA, Khadija Kopa, Juma Nature, Warriors From the East, Madee, Young Killer, Jambo Squad, AY,
Vanessa Mdee, Mashujaa Band, Rich Mavoko na Christian Bella.

Hata hivyo Lady Jaydee aliyekuwepo kwenye ziara hiyo mwaka jana, ameondolewa mwaka huu.

Chanzo kimoja kimeiambia Mpekuzi kuwa sababu ya kuondolewa ni ile tweet ya dharau aliyoiandika Lady Jaydee kuhusu kutokufahamu kama tuzo hizo zilifanyika. Chanzo hicho kimesema pia kuwa Roma alikuwa awepo kwenye ziara hiyo lakini ujuaji wake umemfanya apigwe chini.
 
eti kwenye twita kakajifanya hakajui kama hizo tuzo zimeshafanyika!...mweh! Ndo maana mawingu efu emu walikafungia vioo!
 
Aangalie waliompandisha ndio watakaomshusha
 
kwani hasipohuzuria hiyo ziara atapungukiwa na nini?hao vilaza wanajiona wamewini kujumuishwa!
Fanya yako dogo, sio unafuka moshi hapa!
 
eti kwenye twita kakajifanya hakajui kama hizo tuzo zimeshafanyika!...mweh! Ndo maana mawingu efu emu walikafungia vioo!

kwani hao wamingu baada ya kumfungia kamanda Jide alipungukiwa na nini?

Jide kutwit vile alimaanisha hizo tuzo zao hazina mchango wowote kwake!
 
kwani hasipohuzuria hiyo ziara atapungukiwa na nini?hao vilaza wanajiona wamewini kujumuishwa!
Fanya yako dogo, sio unafuka moshi hapa!

Kama kuzunguka mikoan atakuwa kachoka , maana toka mwaka 2000 had 2014 yeye ananyakua tuzo tu , kwanza ana mishe zake kibao na yupo arusha sasa ivi kweny sherehe ya miaka 50 ya NSSF na mh kikwete.

Halaf yupo busy na kuandaa ule wimbo utakao tumika kwenye world cup , so kama safar za mikoan wanaona dili kwa jide bado sana
 
kwani hao wamingu baada ya kumfungia kamanda Jide alipungukiwa na nini?

Jide kutwit vile alimaanisha hizo tuzo zao hazina mchango wowote kwake!

Kama hazina mchango kwanini alichukua zile tuzo na pesa embu jipange upya
 
Ukimjua jide personally ni tofauti kabisa na unavyomjua kwenye media...

Pale mawingu fm kuna mdada ana jina kama hilo lako la mwisho! kuna ule uzi wa watu maarufu wasio na madem hapa nchini..nakumbuka ulifunguka..kila nikikuona napata picha ya yule bibie!
 
umeandika kiumbea sana ila sishangai kwani ndio kawaida zenu nyie mashosti ipo siku wasanii wote watazigomea hizo tuzo za kuzika muziki wa kitanzania. Ila wajinga ndio waliwao wasanii badilikeni duh.
 
Exactly atakuwa ndo mwenyewe huyo.

Kuna mdada pale mawingu fm ana jina kama lako hilo la mwisho..nakumbuka kwenye ule uzi wa mastaa wasio na madem ulifunguka kweli kweli,...kila nikona comment yako namkumbuka bibie!
 
Back
Top Bottom