Hivi huyu Komando Jide mbona yupo hivi lakini?

eti kwenye twita kakajifanya hakajui kama hizo tuzo zimeshafanyika!...mweh! Ndo maana mawingu efu emu walikafungia vioo!

Umeoneaha chuki sa wazi wazi au weee ndo alokujibu ile tweet
 
haka ka bishosti huwa nakashangaa sana. Sijui hii jeuri kanaitoaga wapi'

Orodha ya wasanii watakaoshiriki
kwenye Kili Music Tour 2014 imetangazwa leo. Mwaka huu zaidi ya wasanii 30 watashiriki katika ziara hiyo kwenye mikoa zaidi ya 10 nchini itakayoanza Mei hadi Septemba 2014. Wasanii hao ni pamoja na Diamond, Ommy Dimpoz, Linex, Proffesor Jay, Izzo Biznes, Kala Jeremiah, Fid Q, Snura, Weusi, Ben Pol, Mzee Yusuph, Shilole na Mwasiti.

Wengine ni Nay wa Mitego, Mwana FA, Khadija Kopa, Juma Nature, Warriors From the East, Madee, Young Killer, Jambo Squad, AY,
Vanessa Mdee, Mashujaa Band, Rich Mavoko na Christian Bella.

Hata hivyo Lady Jaydee aliyekuwepo kwenye ziara hiyo mwaka jana, ameondolewa mwaka huu.

Chanzo kimoja kimeiambia Mpekuzi kuwa sababu ya kuondolewa ni ile tweet ya dharau aliyoiandika Lady Jaydee kuhusu kutokufahamu kama tuzo hizo zilifanyika. Chanzo hicho kimesema pia kuwa Roma alikuwa awepo kwenye ziara hiyo lakini ujuaji wake umemfanya apigwe chini.
Nyie watu wa Clouds na Mwanafatuma wenu kwanini hamchoki kumfuatafuata Jaydee?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
MKUDE SIMBA bhana ni balahhhh

Unasikiliza 93.7 fm

Unasikilza LJ (lady jaydee)

Bado tena uangaike na mitua ya nini?
Pumzika mdogo wangu.

haka ka bishosti huwa nakashangaa sana. Sijui hii jeuri kanaitoaga wapi'

Orodha ya wasanii watakaoshiriki
kwenye Kili Music Tour 2014 imetangazwa leo. Mwaka huu zaidi ya wasanii 30 watashiriki katika ziara hiyo kwenye mikoa zaidi ya 10 nchini itakayoanza Mei hadi Septemba 2014. Wasanii hao ni pamoja na Diamond, Ommy Dimpoz, Linex, Proffesor Jay, Izzo Biznes, Kala Jeremiah, Fid Q, Snura, Weusi, Ben Pol, Mzee Yusuph, Shilole na Mwasiti.

Wengine ni Nay wa Mitego, Mwana FA, Khadija Kopa, Juma Nature, Warriors From the East, Madee, Young Killer, Jambo Squad, AY,
Vanessa Mdee, Mashujaa Band, Rich Mavoko na Christian Bella.

Hata hivyo Lady Jaydee aliyekuwepo kwenye ziara hiyo mwaka jana, ameondolewa mwaka huu.

Chanzo kimoja kimeiambia Mpekuzi kuwa sababu ya kuondolewa ni ile tweet ya dharau aliyoiandika Lady Jaydee kuhusu kutokufahamu kama tuzo hizo zilifanyika. Chanzo hicho kimesema pia kuwa Roma alikuwa awepo kwenye ziara hiyo lakini ujuaji wake umemfanya apigwe chini.
 
Ukimjua jide personally ni tofauti kabisa na unavyomjua kwenye media...

Huwa siwapendi wale ma aunt wa mawingu na nilikua namsupport sana huyu dada,last week niliangalia kipindi chake cha Diary alienda kuwa mgeni kwenye mahafali ya Sec moja ya wadada Moro,Wale wadada walijipanga kwa bashasha ashuke kwenye gari wampokee.

Alivyoshuka kwenye gari niliona aibu mimi ninayeangalia Tv,wale mabinti walitaka kum hug ila ile Body language ya Jide wakasita then wakamsalimia akaitikia huku hawaangalii anawafuata Walimu,mmoja akawa anataka kupokea handbag hakumjibu na akampotezea.

Sasa sijui unaongelea wapi yuko poa zaidi?na ile hakua anaigiza
 
eti kwenye twita kakajifanya hakajui kama hizo tuzo zimeshafanyika!...mweh! Ndo maana mawingu efu emu walikafungia vioo!

kumfungia kwao unahisi wamemfanya asiendelee kusikika??
 
kwani hasipohuzuria hiyo ziara atapungukiwa na nini?hao vilaza wanajiona wamewini kujumuishwa!
Fanya yako dogo, sio unafuka moshi hapa!

Mashabiki kama nyie ndo mnampa kiburi kinachomfanya aanze kuwa na dharau,kutohudhuria kwenye tuzo bila sababu tu ni dharau tosha kwa mashabiki zake wanaompigia kura,kama anabifu na waandaaji wa Kili na anaona tuzo hazina maana kwake ni vema akatangaza kujitoa kama alivyowahi kufanya Dully,na lile jibu alilolitoa Twitter ndo kabisaaa limedhihirisha kiwango cha dharau cha huyu dada,akumbuke kwamba Media ilishindwa kumshusha coz nguvu ya mashabiki ilikuwa kubwa,sasa kama anaanza kuwaletea dharau mashabiki wanaomuweka juu amini usiamini ATAPOTEA.Mimi ni moja kati ya wengi waliokuwa wanamsapoti kipindi cha sakata lake na wakina Ruge but kwa tabia hizi nimeanza kumkataa
 
Ukimkataa sisi tunaendelea kumkubali komando jide
 
Hyo list naona misukule ya ruge imejazana ...huo ni mchongo
 
Huwa siwapendi wale ma aunt wa mawingu na nilikua namsupport sana huyu dada,last week niliangalia kipindi chake cha Diary alienda kuwa mgeni kwenye mahafali ya Sec moja ya wadada Moro,Wale wadada walijipanga kwa bashasha ashuke kwenye gari wampokee.

Alivyoshuka kwenye gari niliona aibu mimi ninayeangalia Tv,wale mabinti walitaka kum hug ila ile Body language ya Jide wakasita then wakamsalimia akaitikia huku hawaangalii anawafuata Walimu,mmoja akawa anataka kupokea handbag hakumjibu na akampotezea.

Sasa sijui unaongelea wapi yuko poa zaidi?na ile hakua anaigiza

hata mimi niliangalia kwa kweli nikawa disappointed sana, mtu wamemuheshimu wakamualika kama mgeni ameshindwa hata kuandaa speech kama mgeni rasmi!! mimi ni shabiki wake sana lakini anaboa kweli yule dada...
 
dharau iko wapi hapo!
Una ukaribu na Jide ww au unahadaika na mbwembwe za media!
Sasa wewe hujaona dharau yeye alivyojibu ETI KWANI ZIMESHAFANYIKA?huyo Jide ashukuru tour ya mwaka Jana kudadadeki hiyo Range yake kama angeinunua sababu toka amepata Range haishiwi Maneno.
 
Wrote wanao mponda komando,wana wivu tu kwanza kiwango chake ni cha kimataifa hababaishwi name vituzo vya kuuzia magazeti.BIG UP JIDE WW SONGA MBELE HIZO NI KELELE ZA CHURA TU,MAJI YAKIISHA WATANYAMAZA
 
Huwa siwapendi wale ma aunt wa mawingu na nilikua namsupport sana huyu dada,last week niliangalia kipindi chake cha Diary alienda kuwa mgeni kwenye mahafali ya Sec moja ya wadada Moro,Wale wadada walijipanga kwa bashasha ashuke kwenye gari wampokee.

Alivyoshuka kwenye gari niliona aibu mimi ninayeangalia Tv,wale mabinti walitaka kum hug ila ile Body language ya Jide wakasita then wakamsalimia akaitikia huku hawaangalii anawafuata Walimu,mmoja akawa anataka kupokea handbag hakumjibu na akampotezea.

Sasa sijui unaongelea wapi yuko poa zaidi?na ile hakua anaigiza

Aisee me pia niliiona hiyo pia yaan wale girls walijipanga kumpokea kwa bashasha lakn ndo ivo tena
 
Wanao mponda Jide hawafikirii Kwa kutumia kichwa,wanajua wenyewe wanafikiria Kwa kutumia nn
 
Wrote wanao mponda komando,wana wivu tu kwanza kiwango chake ni cha kimataifa hababaishwi name vituzo vya kuuzia magazeti.BIG UP JIDE WW SONGA MBELE HIZO NI KELELE ZA CHURA TU,MAJI YAKIISHA WATANYAMAZA

Ni lini amepiga show nje ya nchi?
 
Back
Top Bottom