Hivi huyu Komando Jide mbona yupo hivi lakini?

Hivi huyu Komando Jide mbona yupo hivi lakini?

Na angejua usanii na dharau ni vitu viwili tofauti kabisa...msanii lazima uwe mnyenyekevu kwa watu maana hujui nani fan wako....Jide ana dharau mpaka kwenye biashara yake ya mgahawa....nina experience hiyo na rafiki yangu ali experience the same...mwenyewe anasema sijuhi family...kuna family kwenye biashara....Ngoja kina Diamond wamfunike ndio atatia akili....

Sio kila mmoja ana nafasi ya kumjua Jide personally...lakini wengi wetu kwa mamilioni tunamjua kwenye media..kwa hiyo ni bora a'behave kwenye media tunakomjua wengi kuliko wenye bahati ya kumjua personally.
 
Mtanzania jiamin na simama mwenyewe . Haya mambo ya ziara ya wasanii kwan ndo sifa ya kuwa mashuhur.???? Tumia akil yako simama ww kama ww.

mbona kwenye show zake hasimami pekeyake anaita wasanii wakumsapoti?
 
Na angejua usanii na dharau ni vitu viwili tofauti kabisa...msanii lazima uwe mnyenyekevu kwa watu maana hujui nani fan wako....Jide ana dharau mpaka kwenye biashara yake ya mgahawa....nina experience hiyo na rafiki yangu ali experience the same...mwenyewe anasema sijuhi family...kuna family kwenye biashara....Ngoja kina Diamond wamfunike ndio atatia akili....

Yaani uko dar hata salamu?
 
Wrote wanao mponda komando,wana wivu tu kwanza kiwango chake ni cha kimataifa hababaishwi name vituzo vya kuuzia magazeti.BIG UP JIDE WW SONGA MBELE HIZO NI KELELE ZA CHURA TU,MAJI YAKIISHA WATANYAMAZA

Oya co wivu ukubali ukatae jd kabadilika tangu bifu lake na ruge lianze, na mimi ninavyoona jd atapotea kiusanii muda c mref kama hatobadilika aache dharau halafu ashirikiane na wenzake.
 
Tulimpigia kura nyingi ili tuzo ziende kwake kufanya wasanii wengine waone kumbe yawezekana kufanya mziki bila promo ya mawingu na kupata tuzo lakini yeye kama msanii tuliempigania kwa kura alitundondosha kwa kuto kuja píli na maneno anayotoa katika mitandao ya kijamii hata shukrani kwa wapiga kura hajatoa Sana Sana anauliza eti tuzo zimefanyika lini huuu ni ukosefu wa ufanisi na umakini kama msanii mkubwa na mkongwe lazima tuseme hapa umekosea Sana katika hili basi anaconda kama hutaki kushiriki tuzo hizi toa walaka basi kama wakipindi kile watu tujue.

Sent from my BlackBerry 9380 using JamiiForums
 
hakika umeongea
 
Thats the big issue na hatokaa aache bila kupata mshauri wa kisaikolojia na hata akimpata kama kile kinachomkosesha raha hakipatati she will never change... Hata mashabiki wakimsusa hiyo haitabamdilisha mitazamo yake.

Jide ni mtu wakukaa na kitu moyoni ukimkera hata akikusamehe hasahau, na atafanya kile kinachompa amani ya moyo wake na sio kufurahisha kila mtu atakama anajijua yuko wrong.

You Are Right Queen Of Sheba!
 
jeuri yake itamkosesha vingi,tatizo ni mswaili sana yani she behave childish,vinyongo kila kukicha
 
Back
Top Bottom