Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 18,960
- 67,654
Jamaa anajua kufunga sana. Anafunga kadri anavyojisikia, hana makuu hapo ndani ya Inter Milan. Hivi wadau wa soka mnamfatilia huyu jamaa kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yanatokea tu kwenye mpira, au kama shevchenko na yule striker wa ki argentina toka inter kenda chelseaAsije akawa kama Huntelaar alivyokuwa Ajax alitupia sana lakini alipoenda Real Madrid akapotea
Duh! Eti Icard umfananishe na benteke au lukaku, kweli mapenzi upofumauro wa kawaida sana... akija primier league levo zake ni kina charlie austin, berahino, rashford, son(wa spurs), n.k hafikii hata levo za kina welbz,benteke, firmino, lukaku, morata, achilia mbali kina zlatan, aguero, kane
WEW UNAIJUA EPL TU HUNA ZAIDI YA HAPOmauro wa kawaida sana... akija primier league levo zake ni kina charlie austin, berahino, rashford, son(wa spurs), n.k hafikii hata levo za kina welbz,benteke, firmino, lukaku, morata, achilia mbali kina zlatan, aguero, kane
Hahaha these are funny stories..Mauro icardi anajua wewe natural goalscorermauro wa kawaida sana... akija primier league levo zake ni kina charlie austin, berahino, rashford, son(wa spurs), n.k hafikii hata levo za kina welbz,benteke, firmino, lukaku, morata, achilia mbali kina zlatan, aguero, kane
Niliwahi kusikia ni kwa sababu ya kitendo alichomfanyiaga Maxi Lopez na kwa kua Maxi ni Close friend wa Messi so Messi ashamuwekea mgongo wasimuite...... but juzi kati aliitwaMAURO LCARDI namjua sana ni bonge la striker,,,magoli yake ni natural,,,,huwa najiuliza kwanini makocha hawampangi kwenye SQUAD/KIKOSI cha timu ya taifa??? Wanamuweka HIGUAIN OR BENEDETTO/River Plate Striker,,,, alafu LCARDI wanamuacha,,,sipati picha hapo.
nendeni pale ajax mkamchukue mtoto wa kluvet jana tu katoka kupiga tatu na ndio kwanza ana miaka 18
Niliwahi kusikia ni kwa sababu ya kitendo alichomfanyiaga Maxi Lopez na kwa kua Maxi ni Close friend wa Messi so Messi ashamuwekea mgongo wasimuite...... but juzi kati aliitwa
Russia atakuepo tuu hata kama atakua ni back up but watamchukua tuu kutokana na form alionayoDah nilikuwa silijui hilo Mkuu. Asante kunijuza,,,hope RUSSIA tutakuwanae!
Na siye tunamuona ti mwisho wake mbaya
Swissme
Russia atakuepo tuu hata kama atakua ni back up but watamchukua tuu kutokana na form alionayo
Poa nduguPoa Poa mkuu,, itapendeza sana....