Hivi huyu Mauro Ircadi namuona mimi tu au na nyinyi mmemuona?

Hivi huyu Mauro Ircadi namuona mimi tu au na nyinyi mmemuona?

Mbona madrid na chelsea inasemekana wamemuweka kwenye short list zao! Huyo jamaa anajua kufunga si mchezo. Kwa kifupi huyo kijana ni striker kweli ndugu.
 
Asije akawa kama Huntelaar alivyokuwa Ajax alitupia sana lakini alipoenda Real Madrid akapotea
 
mauro wa kawaida sana... akija primier league levo zake ni kina charlie austin, berahino, rashford, son(wa spurs), n.k hafikii hata levo za kina welbz,benteke, firmino, lukaku, morata, achilia mbali kina zlatan, aguero, kane
WEW UNAIJUA EPL TU HUNA ZAIDI YA HAPO
 
nendeni pale ajax mkamchukue mtoto wa kluvet jana tu katoka kupiga tatu na ndio kwanza ana miaka 18
 
MAURO LCARDI namjua sana ni bonge la striker,,,magoli yake ni natural,,,,huwa najiuliza kwanini makocha hawampangi kwenye SQUAD/KIKOSI cha timu ya taifa??? Wanamuweka HIGUAIN OR BENEDETTO/River Plate Striker,,,, alafu LCARDI wanamuacha,,,sipati picha hapo.
 
Niliwahi kusikia ni kwa sababu ya kitendo alichomfanyiaga Maxi Lopez na kwa kua Maxi ni Close friend wa Messi so Messi ashamuwekea mgongo wasimuite...... but juzi kati aliitwa
 
nendeni pale ajax mkamchukue mtoto wa kluvet jana tu katoka kupiga tatu na ndio kwanza ana miaka 18

Mzee dudu. 3 sio tishio,,,kamcheki FENOMENO LCARDI pale inter,, ni bonge la striker huyu jamaa___inshort Inter inapumulia kwa huyu jamaa. Otherwise wasingefika hapo walipo
 
Niliwahi kusikia ni kwa sababu ya kitendo alichomfanyiaga Maxi Lopez na kwa kua Maxi ni Close friend wa Messi so Messi ashamuwekea mgongo wasimuite...... but juzi kati aliitwa

Dah nilikuwa silijui hilo Mkuu. Asante kunijuza,,,hope RUSSIA tutakuwanae!
 
Back
Top Bottom