mzee hiki choo ulichoingia si cha kwako mweeeeeeeeNa siye tunamuona ti mwisho wake mbaya
Swissme
Hizi ni dharau sasa..mauro wa kawaida sana... akija primier league levo zake ni kina charlie austin, berahino, rashford, son(wa spurs), n.k hafikii hata levo za kina welbz,benteke, firmino, lukaku, morata, achilia mbali kina zlatan, aguero, kane
EPL ina kitu gani cha ajabu sana mpk una i overate kiasi hichomauro wa kawaida sana... akija primier league levo zake ni kina charlie austin, berahino, rashford, son(wa spurs), n.k hafikii hata levo za kina welbz,benteke, firmino, lukaku, morata, achilia mbali kina zlatan, aguero, kane
Kimemgharimu lakini, image yake imechafuka sana.Sema mshamba tuu kitu alichomfanyiaga Maxi Lopez cha kiwaki sana
Veron?Yanatokea tu kwenye mpira, au kama shevchenko na yule striker wa ki argentina toka inter kenda chelsea
Ndio ukwer huo uyu bdo ajafik uwezo w higwahin uyu bado jamaa n wakawaidah tmauro wa kawaida sana... akija primier league levo zake ni kina charlie austin, berahino, rashford, son(wa spurs), n.k hafikii hata levo za kina welbz,benteke, firmino, lukaku, morata, achilia mbali kina zlatan, aguero, kane
Hii y terry n brige mnaifunika hii mnaona atarSema mshamba tuu kitu alichomfanyiaga Maxi Lopez cha kiwaki sana
Mkuu Higwahin ndio nini? Tusipende kuharibu majina ya watuNdio ukwer huo uyu bdo ajafik uwezo w higwahin uyu bado jamaa n wakawaidah t
mauro wa kawaida sana... akija primier league levo zake ni kina charlie austin, berahino, rashford, son(wa spurs), n.k hafikii hata levo za kina welbz,benteke, firmino, lukaku, morata, achilia mbali kina zlatan, aguero, kane
MAURO LCARDI namjua sana ni bonge la striker,,,magoli yake ni natural,,,,huwa najiuliza kwanini makocha hawampangi kwenye SQUAD/KIKOSI cha timu ya taifa??? Wanamuweka HIGUAIN OR BENEDETTO/River Plate Striker,,,, alafu LCARDI wanamuacha,,,sipati picha hapo.
Ana bifu na Messi baada ya kumchukua manzi wa rafiki yake Messi.