Hivi huyu Mauro Ircadi namuona mimi tu au na nyinyi mmemuona?

mauro wa kawaida sana... akija primier league levo zake ni kina charlie austin, berahino, rashford, son(wa spurs), n.k hafikii hata levo za kina welbz,benteke, firmino, lukaku, morata, achilia mbali kina zlatan, aguero, kane
Hizi ni dharau sasa..
 
EPL ina kitu gani cha ajabu sana mpk una i overate kiasi hicho
 
mauro wa kawaida sana... akija primier league levo zake ni kina charlie austin, berahino, rashford, son(wa spurs), n.k hafikii hata levo za kina welbz,benteke, firmino, lukaku, morata, achilia mbali kina zlatan, aguero, kane
Ndio ukwer huo uyu bdo ajafik uwezo w higwahin uyu bado jamaa n wakawaidah t
 
mauro wa kawaida sana... akija primier league levo zake ni kina charlie austin, berahino, rashford, son(wa spurs), n.k hafikii hata levo za kina welbz,benteke, firmino, lukaku, morata, achilia mbali kina zlatan, aguero, kane

Usimfananishe Icardi na huo utumbo wenu wa Epl, ana average ya kufunga magoli 25+ kwa misimu minne sasa. Hapo Epl labda umfananishe na Aguero kidogo.
 
MAURO LCARDI namjua sana ni bonge la striker,,,magoli yake ni natural,,,,huwa najiuliza kwanini makocha hawampangi kwenye SQUAD/KIKOSI cha timu ya taifa??? Wanamuweka HIGUAIN OR BENEDETTO/River Plate Striker,,,, alafu LCARDI wanamuacha,,,sipati picha hapo.

Ana bifu na Messi baada ya kumchukua manzi wa rafiki yake Messi.
 
Back
Top Bottom