BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Ndio ukwer huo uyu bdo ajafik uwezo w higwahin uyu bado jamaa n wakawaidah t
ukwer=ukweli
ajafik=hajafikia
w=wa
higwahin=higuain
uyu=huyu
n=ni
wakawaidah=wakawaida
t=tu
We umjui ircad ni gangster( muhuni) lakini mchezaji mzuriJamaa anajua kufunga sana. Anafunga kadri anavyojisikia, hana makuu hapo ndani ya Inter Milan. Hivi wadau wa soka mnamfatilia huyu jamaa kweli?
Hernan crespo?Veron?
Crespo , batistuta , were fantasticHernan crespo?
Hernan crespo?
umeandika nini?We umjui ircad ni gangster( muhuni) lakini mchezaji mzuri
Huo ni mtizamo wako!Kumbe Unamjua Leo icardi ,poleeee..
Jamaa ni wa kawaida sana ni Mara 100 nimchukue Paul Dybala "The Mask", Gonzalo Higuain, Mertens Au BELLOTI
Jamaa anajua kufunga sana. Anafunga kadri anavyojisikia, hana makuu hapo ndani ya Inter Milan. Hivi wadau wa soka mnamfatilia huyu jamaa kweli?
Kumbe Unamjua Leo icardi ,poleeee..
Jamaa ni wa kawaida sana ni Mara 100 nimchukue Paul Dybala "The Mask", Gonzalo Higuain, Mertens Au BELLOTI