Hivi huyu Mauro Ircadi namuona mimi tu au na nyinyi mmemuona?

Hivi huyu Mauro Ircadi namuona mimi tu au na nyinyi mmemuona?

Jamaa anajua kufunga sana. Anafunga kadri anavyojisikia, hana makuu hapo ndani ya Inter Milan. Hivi wadau wa soka mnamfatilia huyu jamaa kweli?
We umjui ircad ni gangster( muhuni) lakini mchezaji mzuri
 
Kumbe Unamjua Leo icardi ,poleeee..

Jamaa ni wa kawaida sana ni Mara 100 nimchukue Paul Dybala "The Mask", Gonzalo Higuain, Mertens Au BELLOTI
 
Kumbe Unamjua Leo icardi ,poleeee..

Jamaa ni wa kawaida sana ni Mara 100 nimchukue Paul Dybala "The Mask", Gonzalo Higuain, Mertens Au BELLOTI

Mkuu tofautisha kati ya foward/attaking midfielder na striker

Lcardi na Higuain ni Strikers....Dybala yeye ni foward/attacking midfielder

Binafsi katika strikers sioni wa kumzuia FENOMENO
Lcardi ,,,ni fundi huyu binadamu......
 
Back
Top Bottom