Hivi huyu ni kweli mwenyewe sepenga au mtu kafungua hii account kwa kutumia jina la wema hili awatapeli watu

Hivi huyu ni kweli mwenyewe sepenga au mtu kafungua hii account kwa kutumia jina la wema hili awatapeli watu

huyo ni tapeli, ila ni utapeli wa kitoto sana huu, sema wengine ndio hivyo wanaingizwagwa mjini.

siku moja, Saidi Fela alisema ukiangalia facebook kuna Saidi Fela kama 10, lakini wote ni feki na wanawatapeli watu hela ndogo ndogo.
Watakamatwa washenzi wakubwa hao
 
YUPO MMOJA ANAJIITA JACLINE WOLPER NA ANKUTUMIA KITAMBULISHO CHA KUPIGIA KULA NA ANA NAMBA YA SIMU IMESAJILIWA KWA JINA LA JACLINE WOLPER MASAWE ANATUMIA NAMBA ..........................................NAOMBA WAHUSIKA WALIWEKE WAZI HILI WATU WANAWACHAFUA SANA KWA KUTUMIA HII NJIA FEKI YA KUTAPELI NEXT TIME NAWEKA NA NAMBA KABISA NA KITAMBULISHO ANACHOTUMIA
 
Kweli kabisa na kilichonisukuma mimi kupost hii thread ya huyu sepenga fake. Hii mara ya pili kutaka kutapeliwa, huyo huyo jaqline wolper fake mwaka jana alini ingilia hivyo hivyo. Madai gari yake aina mafuta kakwama maeneo ya bunju anataka nimuazime 30,000/= nae nikamtolea nje nikawa na wasiwasi nae mkuu hii khari inatisha Usipokuwa makini Unapigwa mchanga wa macho hivi hivi mkuu
 
c47a29c9b92195c58d962007278f19af.jpg
e4018c0550800d9903d1121e9cd60385.jpg
Mimi alinifuata kwangu kwa jina la wolper, hao ni wasenge hivi wanadhani huwa pesa inatoka kilaini laini eti kisa ya majina yao, mamaee!
 
Ulimchokoza mwenyewe nanin kakuambia um "wave"?
 
Mimi alinifuata kwangu kwa jina la wolper, hao ni wasenge hivi wanadhani huwa pesa inatoka kilaini laini eti kisa ya majina yao, mamaee!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377]
 
Back
Top Bottom