Hivi huyu Rayvanny ndio kashaishiwa?

Hivi huyu Rayvanny ndio kashaishiwa?

Rayvan ni muandishi na muimbaji mzuri sana mkuu.
Lakini hawezi kutoa nyimbo zitakazo kupendeza miaka yote.
Kumbuka pia wimbo utakao uona ni mbaya kwako, kwa mwingine huo wimbo ndiyo the best.

Mfano kuna msanii anaitwa Lavalava, huyu msanii sijui anaimba nini lakini kuna watu wanamkubali sana.
Kwahiyo kila mtu anakula kwa urefu wa ķamba yake
 
Kuna
Huyu jamaa mbona anatoa nyimbo mbaya sana siku hizi yaani kama msanii chipukizi hii nyimbo yake aliyoiita peponi ni Moja kati ya nyimbo mbaya sana aisee huyu jamaa kashaishiwa anaimba kama anaongea na mtu hapa hamna msanii aisee
Kuna wasanii siwaelewi kabisaaaa siku hizi akiwemo rayvanny na harmonizee
 
Asa hv wasanii wanaimba sijui vitu gani naona hawatoi nyimbo sana wanavizia kampeni
 
Rayvan ni muandishi na muimbaji mzuri sana mkuu.
Lakini hawezi kutoa nyimbo zitakazo kupendeza miaka yote.
Kumbuka pia wimbo utakao uona ni mbaya kwako, kwa mwingine huo wimbo ndiyo the best.

Mfano kuna msanii anaitwa Lavalava, huyu msanii sijui anaimba nini lakini kuna watu wanamkubali sana.
Kwahiyo kila mtu anakula kwa urefu wa ķamba yake
Rayvanny kaishiwa mziki mzuri haujifichi
 
Back
Top Bottom