Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
- Thread starter
- #21
Wewe kilichokuwasha nini kushobokea Uzi wangu au wewe ni Mke wa rayvannySasa kinachokuwasha kitu gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe kilichokuwasha nini kushobokea Uzi wangu au wewe ni Mke wa rayvannySasa kinachokuwasha kitu gani?
Hahahaha Ukishakua masikini lazima. Udate aisee milion 45 zangu zinakuuma sana hahahahaha 🤣🤣🤣 tukana tusi jipya hayo wenzio wameshayatunga unaiga tuLeo unajitaid kujipodoa mara uandike umeshinda mara wasanii hajui kuimba oya kaimbe wewe kumamamake c umeshnd milion 45 mbona inatosha m5 ukiongeza kalio ili vidio itoke kali itapendez oy ukinijibu mi mumeo ukikaa kimya we ni bonge la mku hahaha mambo ya fid hayo chagua moja chaajabu mtoa post atapain acha urofa mwanaume hapain nyoko tulia kalio
Akapakwe mafuta ya upako kwenye Freak Off Party nyumbani kwa PdidyHuyu jamaa mbona anatoa nyimbo mbaya sana siku hizi yaani kama msanii chipukizi hii nyimbo yake aliyoiita peponi ni Moja kati ya nyimbo mbaya sana aisee huyu jamaa kashaishiwa anaimba kama anaongea na mtu hapa hamna msanii aisee
Wasanii wa R&B Tanzania ambao ni overratedHuyu jamaa mbona anatoa nyimbo mbaya sana siku hizi yaani kama msanii chipukizi hii nyimbo yake aliyoiita peponi ni Moja kati ya nyimbo mbaya sana aisee huyu jamaa kashaishiwa anaimba kama anaongea na mtu hapa hamna msanii aisee
Biashara sio rahisi na sio kila mtu anaweza, rich mavoko, rayvanny na konde wote walionekana wazito walivokuwa wcb ila walivotoka hamna lolote. Diamond anafanya investment sana katika ubunifu wale vijana wanahitaji sana watu. Hamna nyimbo ya diamond ovyo imagine ila hao waliotoka nyimbo zao nzuri zinahesabika… sio kila mtu anaweza kuwa mfanyabiasharaHuyu jamaa mbona anatoa nyimbo mbaya sana siku hizi yaani kama msanii chipukizi hii nyimbo yake aliyoiita peponi ni Moja kati ya nyimbo mbaya sana aisee huyu jamaa kashaishiwa anaimba kama anaongea na mtu hapa hamna msanii aisee
Kwa harmonize umedanganya huyo jamaa ni hatari hajawahi kushuka diamond mwenyewe hampatiBiashara sio rahisi na sio kila mtu anaweza, rich mavoko, rayvanny na konde wote walionekana wazito walivokuwa wcb ila walivotoka hamna lolote. Diamond anafanya investment sana katika ubunifu wale vijana wanahitaji sana watu. Hamna nyimbo ya diamond ovyo imagine ila hao waliotoka nyimbo zao nzuri zinahesabika… sio kila mtu anaweza kuwa mfanyabiashara
Achana mmakonde ukimtoa diamond hakuna msanii mwingine wa kumfikiaBiashara sio rahisi na sio kila mtu anaweza, rich mavoko, rayvanny na konde wote walionekana wazito walivokuwa wcb ila walivotoka hamna lolote. Diamond anafanya investment sana katika ubunifu wale vijana wanahitaji sana watu. Hamna nyimbo ya diamond ovyo imagine ila hao waliotoka nyimbo zao nzuri zinahesabika… sio kila mtu anaweza kuwa mfanyabiashara
Apelekwe kwa Pdidy akapigwe boosterHuyu jamaa mbona anatoa nyimbo mbaya sana siku hizi yaani kama msanii chipukizi hii nyimbo yake aliyoiita peponi ni Moja kati ya nyimbo mbaya sana aisee huyu jamaa kashaishiwa anaimba kama anaongea na mtu hapa hamna msanii aisee
Hamnaga msanii hapaMfano kuna msanii anaitwa Lavalava
Sasa kuna watu kwa huyo lavalava hauwaambii kituHamnaga msanii hapa
We unamsikiliza p didyKumbe hapa JF tuko na watoto ambao bado wanasikiliza bongo fleva
Kwani Nyimbo za Alikiba huzioni mpaka ukomae na manyimbo yao hayo ya HovyoHuyu jamaa mbona anatoa nyimbo mbaya sana siku hizi yaani kama msanii chipukizi hii nyimbo yake aliyoiita peponi ni Moja kati ya nyimbo mbaya sana aisee huyu jamaa kashaishiwa anaimba kama anaongea na mtu hapa hamna msanii aisee
Sijawahi kumuelewa mziki wake huyo jamaa huwa kama anaimba kwayaKwani Nyimbo za Alikiba huzioni mpaka ukomae na manyimbo yao hayo ya Hovyo
Nyimbo zipo nyingi za wasanii mbalimbali Tanzania sijui kwanini huwapi sikio unakomaa na waimba ngono
Huyo Rayvann ni nani huko Daslamu?Huyu jamaa mbona anatoa nyimbo mbaya sana siku hizi yaani kama msanii chipukizi hii nyimbo yake aliyoiita peponi ni Moja kati ya nyimbo mbaya sana aisee huyu jamaa kashaishiwa anaimba kama anaongea na mtu hapa hamna msanii aisee
Daslamu ndio niniHuyo Rayvann ni nani huko Daslamu?
Mbona huku Ngarenaro hatumjui?
Kuna kina Chid Benz huko dar hawapo tena?
Ndo tulikuwa tunawamanya