Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Hata kuandika sijuiSeems like unajifunza kuandika thread. 😎
Huyu jamaa ni kituko now anaimba vitu havieleweki anapiga kelele tuInabidi aanze kujipanga upya
Namuongelea rayvanny hapa sio hao wengineNyimbo zipo nyingi za wasanii mbalimbali Tanzania sijui kwanini huwapi sikio unakomaa na waimba ngono
Itabidi aanze mchakato wa kwenda kukutana na pididi kama alivyofanya nduguye dayamondi platinamuHuyu jamaa ni kituko now anaimba vitu havieleweki anapiga kelele tu
Wewe kumbe ni Paula!Hata kuandika sijui
Afya ya akili imekua tatizo sana sijui ni ugumu wa maisha aisee kazi ipo kama hili nyani linajiita kitimoto unaona kabisa tatizo limeanzia kwenye jinaWewe kumbe ni Paula!
Wahi nyumbani ukampikie Marioo ndizi pamoja na Makande!
Kuna wasanii siwaelewi kabisaaaa siku hizi akiwemo rayvanny na harmonizeeHuyu jamaa mbona anatoa nyimbo mbaya sana siku hizi yaani kama msanii chipukizi hii nyimbo yake aliyoiita peponi ni Moja kati ya nyimbo mbaya sana aisee huyu jamaa kashaishiwa anaimba kama anaongea na mtu hapa hamna msanii aisee
Sijui tatizo niniKuna
Kuna wasanii siwaelewi kabisaaaa siku hizi akiwemo rayvanny na harmonizee
Rayvanny kaishiwa mziki mzuri haujifichiRayvan ni muandishi na muimbaji mzuri sana mkuu.
Lakini hawezi kutoa nyimbo zitakazo kupendeza miaka yote.
Kumbuka pia wimbo utakao uona ni mbaya kwako, kwa mwingine huo wimbo ndiyo the best.
Mfano kuna msanii anaitwa Lavalava, huyu msanii sijui anaimba nini lakini kuna watu wanamkubali sana.
Kwahiyo kila mtu anakula kwa urefu wa ķamba yake
Shida ni mapenzi yanawasahaulishaa kipaji chaoo kwa mfano harmonize nyimbo ya mwisho kuisikiliza aliyoimba peke yake ni singo again baasiSijui tatizo nini
Kwani nimekuambia sisikilizi wasanii wengineDunia ina full of options, wasikilize wasanii wengine sio lazima huyo!
Kwani nimekuambia sisikilizi wasanii wengine