Acha ushabiki mandazi and be realistic, alichoandika jamaa kuhusu hao wasanii na kumuweka Harmo juu ya Diamond ndiyo kabisa inaonyesha unaendeshwa na hisia.
Tumia ubongo na uache kuendeshwa na hisia, mashabiki ndiyo mnawadanganya wasanii.