Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
anadai mkopo nae? huu si ukichaa..chuo? uliza ueleweshwe scorpio me yuko madrasa kwa Shehe ULEDI
Ndio... mkopo wa kutawadhia udhuanadai mkopo nae? huu si ukichaa..
Unataka kumpiga Jambazi Bujibuji na bastola ambayo ili itoe mlio ni lazima uiweke kwenye chaja ikae siku nzimascorpio me njoo umetungiwa uzi. Sijui umekua bzy sana huku mpaka watu wanasema unasomaga saa ngapi.
Kiufupi tu ni kwamba,Kwa sasa yupo likizo na anasubiri mpaka February ndipo arudi chuoni MU. Hiki ni kipindi chake cha likizo kwa hiyo ana uhalali wa kukaa huku muda anaojisikia yeye.
Kuna libabu limoja linaitwa Bujibuji linamnyemelea ila nishamuahidi kumoiga bastola.
you mean Mzunbe?scorpio me njoo umetungiwa uzi. Sijui umekua bzy sana huku mpaka watu wanasema unasomaga saa ngapi.
Kiufupi tu ni kwamba,Kwa sasa yupo likizo na anasubiri mpaka February ndipo arudi chuoni MU. Hiki ni kipindi chake cha likizo kwa hiyo ana uhalali wa kukaa huku muda anaojisikia yeye.
Kuna libabu limoja linaitwa Bujibuji linamnyemelea ila nishamuahidi kumoiga bastola.
Sijui. Tafuta jina lingine labda utapatia. Mi nimesema tu MU we sasa jiongeze kama ni Mzumbe,Muhimbili,Mwenge University na zingine unazojua ww..you mean Mzunbe?