Hivi huyu ' Scorpio me' anasoma saa ngapi? Huu mkopo unaenda bure

data

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2011
Posts
26,858
Reaction score
23,768
Ni mwanachuo huyu......... ammejinadi 24/7...yuko chuo the same we see her here,,..
 
Au ndio wale wanasoma ustawi wakifika getini wanaandikisha kwa mlinzi wanaenda kumsalimia ndugu/rafiki yake
 
scorpio me njoo umetungiwa uzi. Sijui umekua bzy sana huku mpaka watu wanasema unasomaga saa ngapi.

Kiufupi tu ni kwamba,Kwa sasa yupo likizo na anasubiri mpaka February ndipo arudi chuoni MU. Hiki ni kipindi chake cha likizo kwa hiyo ana uhalali wa kukaa huku muda anaojisikia yeye.

Kuna libabu limoja linaitwa Bujibuji linamnyemelea ila nishamuahidi kumoiga bastola.
 
Unataka kumpiga Jambazi Bujibuji na bastola ambayo ili itoe mlio ni lazima uiweke kwenye chaja ikae siku nzima
 
scorpio me njoo umetungiwa uzi. Sijui umekua bzy sana huku mpaka watu wanasema unasomaga saa ngapi.

Kiufupi tu ni kwamba,Kwa sasa yupo likizo na anasubiri mpaka February ndipo arudi chuoni MU. Hiki ni kipindi chake cha likizo kwa hiyo ana uhalali wa kukaa huku muda anaojisikia yeye.

Kuna libabu limoja linaitwa Bujibuji linamnyemelea ila nishamuahidi kumoiga bastola.
you mean Mzunbe?
 
you mean Mzunbe?
Sijui. Tafuta jina lingine labda utapatia. Mi nimesema tu MU we sasa jiongeze kama ni Mzumbe,Muhimbili,Mwenge University na zingine unazojua ww..

Ila huyo mtoto acha kumattack. Anastahili mkopo ndiyo maana kapewa na mpaka sasa anao na ataendelea kudunda nao.

Alafu unavyosema 24/7 yupo humu,mbona sasa hivi na mchana hakuwepo huku?
 
Back
Top Bottom