Hivi huyu ' Scorpio me' anasoma saa ngapi? Huu mkopo unaenda bure

Chuo cha kufungua February ?n NIT au ?
 
Achana na maisha ya watu mkuu.
Kusoma au kuwa chuo sio ndo kila saa mtu ang'ang'ane na daftari.
Hata hivyo tunatofautiana uelewa na akili kuna watu wanasomaga tu wakati wa mitihani na kuna wengine kila siku wao wanakeshea kitabu hivo hatuwezi fanana.
Kusoma si adhabu eti unasoma huku unarefresh na mambo mengine.
Scorpio me jiachie mama maisha yenyew hayahaya.
 
Scorpio me anasoma Chuo Mahiri, Chuo cha Ukweli kwa sasa yuko field hadi mwakani February
 
Naona kama unataka tetea ujinga,,... MU stands for the college that is Mzumbe.acha u ......
Mzumbe sio college. Jitahidi uwe na uhakika ma unavyoviandika hapa.
 
Miss Chaga, Heaven sent, Madame B kaeni chonjo, hicho kitoto sijui Scorpio me kinakuja kuchukua umaarufu wenu jf[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aiseee haya nimekuja kujibu mashtaka...
 
Miss Chaga, Heaven sent, Madame B kaeni chonjo, hicho kitoto sijui Scorpio me kinakuja kuchukua umaarufu wenu jf[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hapana mkuu sichukui umaarufu wa mtu btw me sio maarufu[emoji276]
 
Chuo tena mkuu na uzee huu???Kama unaniona maeneo ya hapo chuo ni kwamba nafanya jambo la ulinzi shirikishi tuu kuhakikisha dada yenu Scorpio me namleta/kumrudisha ilimradi asipatwe na stress bwn mdg[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…