Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chuo cha kufungua February ?n NIT au ?scorpio me njoo umetungiwa uzi. Sijui umekua bzy sana huku mpaka watu wanasema unasomaga saa ngapi.
Kiufupi tu ni kwamba,Kwa sasa yupo likizo na anasubiri mpaka February ndipo arudi chuoni MU. Hiki ni kipindi chake cha likizo kwa hiyo ana uhalali wa kukaa huku muda anaojisikia yeye.
Kuna libabu limoja linaitwa Bujibuji linamnyemelea ila nishamuahidi kumoiga bastola.
MU-Mzumbe kama kaingia third year semister ya kwanza oct-feb anakua field, sio koz zote thoughChuo cha kufungua February ?n NIT au ?
Ha haaNdio... mkopo wa kutawadhia udhu
na huyu valentina anafanya kazi saa ngapi.? mda wote namuona humuHa haa
Mzumbe sio college. Jitahidi uwe na uhakika ma unavyoviandika hapa.Naona kama unataka tetea ujinga,,... MU stands for the college that is Mzumbe.acha u ......
Nawewe unafanya kazi sangapi kama muda wote unaniona humu?na huyu valentina anafanya kazi saa ngapi.? mda wote namuona humu
Nimekuja loveCc scorpio me njoo maa a uzi wako huu hapa.
NimefikaaaScorpion me unaitwa huku
Hapana mkuu sichukui umaarufu wa mtu btw me sio maarufu[emoji276]Miss Chaga, Heaven sent, Madame B kaeni chonjo, hicho kitoto sijui Scorpio me kinakuja kuchukua umaarufu wenu jf[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji87] [emoji23] [emoji23]Nimeshampeleka kwenye uno la kiluguru. Anajifua ili akate uno siku ya kesho kutwa hapa nyumbani samaki spot
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Chuo tena mkuu na uzee huu???Kama unaniona maeneo ya hapo chuo ni kwamba nafanya jambo la ulinzi shirikishi tuu kuhakikisha dada yenu Scorpio me namleta/kumrudisha ilimradi asipatwe na stress bwn mdg[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
AiseeeWakuu siwaelewi kwa nini mnakigombania hiki kibinti, juzijuzi tu kimekuja hapa hospitali kwetu tumekichoropoa kibendi sijui kilikua cha nani sasa kati yenu .. tena kwa taarifa yenu kimeniahidi game la nyoka kikipona