MVUMBUZI
JF-Expert Member
- Jan 8, 2011
- 5,182
- 2,308
Kuna kipindi kinaendelea Chanel 10 nafikiri kimeanza saa 4. Huyu sheikh anathubutu kusema ni dini ya kiislam tu inayofikisha watu peponi na hakuna dini nyingine yyoyote inayoweza kumfikisha mtu peponi.
Topic anayozungumzia ni "Misingi mitano ya kudumisha amani". Ila naona suala la ku compare dini kwamba hii ni sahii na hii siyo sahii amepotoka.
Mwelekeo wa mahubiri yake ni kama katumwa na JK vile kwani huwezi kulazimisha kutii mamlaka blindly hata kama kiongozi hana busara wala hekima.
Hapa anafundisha u-imla zaidi wakati sisi tunahitaji serikali na uongozi wa kidemokrasia zaidi.
yuko very biased kwani kimwelekeo anaipiga vijembe CDM na kumfagilia JK.