Hivi huyu Sheikh Chanel 10 anasema nini?

MVUMBUZI

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Posts
5,182
Reaction score
2,308
Kuna kipindi kinaendelea Chanel 10 nafikiri kimeanza saa 4. Huyu sheikh anathubutu kusema ni dini ya kiislam tu inayofikisha watu peponi na hakuna dini nyingine yyoyote inayoweza kumfikisha mtu peponi.

Topic anayozungumzia ni "Misingi mitano ya kudumisha amani". Ila naona suala la ku compare dini kwamba hii ni sahii na hii siyo sahii amepotoka.

Mwelekeo wa mahubiri yake ni kama katumwa na JK vile kwani huwezi kulazimisha kutii mamlaka blindly hata kama kiongozi hana busara wala hekima.
Hapa anafundisha u-imla zaidi wakati sisi tunahitaji serikali na uongozi wa kidemokrasia zaidi.

yuko very biased kwani kimwelekeo anaipiga vijembe CDM na kumfagilia JK.
 
Hii thread sio jukwaa lake hili, ungeiweka habari mchanganyiko au siasa.
 
Ni fikra finyu kudhani dini unayoiamini wewe ndo dini pekee ya ukweli.
 
..simlaumu ni fikra zake na imani yake vinamtuma! wewe ukiwa wa imani tofauti ukisikia hivyo bonyeza next ..endelea kutafuta channel nyingine!
 
Katika dini yetu tumeambiwa kuwa peponi ni kuzimu,motoni au jehenamu.Neno peponi limetoholewa kutoka kwenye neno pepo.Nadhani wote tunaelewa kuwa pepo ni mashetani hivyo huyo shehe kama anasema kuwa dini pekee itakayowapelekawatu peponi ni Islam basi huku wengine tumeelewa kuwa wataenda motoni.
 
Anaeleza msimamo na mafundisho ya uislamu yalivyo.

Hata ukristo ndivyo unavyo fundisha kuwa dini pekee itakayo mfikisha
mtu mbinguni ni kuamini yesu ni mungu na mwana wa mungu.

Thats y hawkubali mtu kubadili dini na kufuata dini nyingine. Ukutaka kuthiitisha hilo muulize padri yeyote
unaye mjua kama atakubali kuwa uislamu ni sawa tu na ukristo basi abadili dini leo naye awe muislamu usikie majibu yake.
 

yah upo sawa jakamoyo dini zote zinaamini kua zipo sahihi zaidi ya jengine nafkiri aloanzisha post hii ana lake moyoni sjui watanzania tutaelimika lini
 
ana matatizo yake huyo tena yeye ndiye atakayekuwa wa kwanza kwenza motoni
 
Anaeleza msimamo na mafundisho ya uislamu yalivyo.

Hata ukristo ndivyo unavyo fundisha kuwa dini pekee itakayo mfikisha
mtu mbinguni ni kuamini yesu ni mungu na mwana wa mungu.

That is not correct. Ukristu unafundisha Yesu ndiye njia pekee ya kwenda kwa Baba, lakini haufundishi ni lazima umwamini Yesu kwanza. Kwa Huruma yake, anaweza kuwapokea Mbinguni hata wale ambao hawakumfahamu. Kwa mfano, wale ambao wamekufa bila kusikia Injili ikihubiriwa wana kosa la kutomkubali Yesu?
 

Kwanini mfuate sheik wakti kolani iliyo jaa shaka ipo, msome mtaalam wa jukwa la deen kwenye attachment. Kolani inasema hivi

 

Killer one
 

Allah mwe, sina hamu
 
Mhh... Hilo neno pepon halijatoholewa kwenye neno pepo. Linatokana na neno la kiarabu jannah kwa tafsir ya bustan na makaz ya mbinguni ya watu wema
 
..simlaumu ni fikra zake na imani yake vinamtuma! wewe ukiwa wa imani tofauti ukisikia hivyo bonyeza next ..endelea kutafuta channel nyingine!

Sasa aongee kama anaongea na Waisalam na siyo kusema eti hakuna dini nyingine itakayowafikisha peponi. Ni sawa mko Harusini kila mtu na mkewe kama waalikwa then couple moja ikasimama na kusema " ndoa yetu ndiyo ndoa sahihi nyingine zote feki" hivi how will you feel wakati upo na mkewo meza moja mkismile huku akiwa amevalia gauni jipya na wewe suti?.
 
..simlaumu ni fikra zake na imani yake vinamtuma! wewe ukiwa wa imani tofauti ukisikia hivyo bonyeza next ..endelea kutafuta channel nyingine!
...Kama mimi nilivyofanya mkuu. kwa kweli alikuwa anaboa. Channel 10 inabidi wawe wana scan watu wanao present kwenye luninga yao, la sivyo watapoteza wapenzi
 

kwanza maneno yake ni kweli alafu Ushasema ni Shekh "mkufunzi wa dini ya kiislamu" wewe ulitaka aseme vipi..?!!
 


Sina la kuoengezea Yesu keshaongea kuhusu watu kama ninyi "You fools!" (Jesus) Luke 11:40 , "You blind fools!" (Jesus) Mat 23:17 "How foolish you are" (Jesus) Luke 24:25
 
kwa hiyo ukiishafuata dini ya kiislam ni tiketi ya moja kwa moja kwenda peponi?kila muamba ngozi huvutia kwake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…