Cha kwanza ameshawakwanza wananchi, akae akijua Yanga ni kubwa kuliko yeye na wanamzunguka,
Sasa kawakwaza wanajangwani na wananchi, ameomba msaada wa watanazania wamchangie!
Sidhani kua kwa akili zake ametafakari madhara iwapo atachemka nakoenda baada ya kuchemka TFF na kuchemka Yanga!
Mfano kule wamrudishe aliko toka, je atatudisha michango ya watu? Je mioyo yao utakuaje waliomchangia?
Bwa mdogo ajitafakari upya, Tamaa mbaya