Hivi huyu Toto anavyowachangisha watu akichemka itakuaje kwa watanzania?

Hivi huyu Toto anavyowachangisha watu akichemka itakuaje kwa watanzania?

Tunzo

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Posts
4,082
Reaction score
2,402
Cha kwanza ameshawakwanza wananchi, akae akijua Yanga ni kubwa kuliko yeye na wanamzunguka,

Sasa kawakwaza wanajangwani na wananchi, ameomba msaada wa watanazania wamchangie!

Sidhani kua kwa akili zake ametafakari madhara iwapo atachemka nakoenda baada ya kuchemka TFF na kuchemka Yanga!

Mfano kule wamrudishe aliko toka, je atatudisha michango ya watu? Je mioyo yao utakuaje waliomchangia?

Bwa mdogo ajitafakari upya, Tamaa mbaya
 
1685126282436.png
 
Vipo upeshatoa mchango?
 
Back
Top Bottom