Mara ya mwisho intaneshino mechi umeshinda lini? Au unahesabia na Simba dayHapo kwa Mkapa hatokagi mtu mjomba.....! We rekebisha koo lako vizuri kushangilia, hofu na mashaka waachie uto...
Mkuu acha kupanic kijinga cz mpira una matokeo matatu..tatizo sisi mashabiki hatutakagi matokeo mengine zaidi ya ushindi! Na timu ikishinda huwez kuskia kocha akisemwa ila itoe sare au kufungwa lawama zote anabebeshwa kocha acheni hizo jamani, lakini pia mkumbuke wachezaji ndio hawahawa asilimia kubwa wametumika kwa muda mrf na huu ni wakati viwango vyao kushuka ama kuchoka na kasi kupungua naturally..kuna wakati tukubaliane na hali halisi na kocha anafanya kazi yake vzr tu na tumpe ushirikiano!
Tatzo sio coach tatizo wachezaji mkuu wamekosa Sana magoliJana ameiangamiza timu yetu, jana ametuumiza Wanasimba. Na hii si mara yake ya kwanza kutufanyia hivi.
Wale Platinum FC kwa jinsi nilivyowaona si wakali sana wa kututisha (najua game ijayo tutapindua matokeo) ila game plan ya Mwalimu wetu na zile sub zake za hovyo ndo zilizotugharimu. Kulikuwa kuna haja gani ya kumtoa Meddie Kagere badala ya kumwongezea nguvu? Kuna watu watasema "usimwingilie Kocha,yeye ni mtaalamu anajua zaidi kuliko wewe shabiki", acheni ujinga! Mmeambiwa wataalamu huwa hawakosei na sometimes kuzidiwa na amateurs?
Nauliza; kocha una chuki gani dhidi ya Kagere ambaye alikuwa anaisumbua Platinum kuliko yule mchovu Mugalu aliyeingia? Halafu unampendea nini Mzamiru Yassin na kiwango chake kile kibovu? Huyu Miraji Athumani ni mzuri, lakini kwakuwa umekuwa humpi nafasi, unadhani angefanya nini cha ajabu jana?
Nakuambia anza kupanga nguo zako kwenye begi. Kwanza ulikuja ukiwa kimbaumbau,una koromeo refu na macho kama una utitiri wa kuku. Sasa tumekulisha ukanawiri na ukajua kuvaa halafu unaanza kutuzingua. Get prepared!
Hakuna aliyesema tunataka tuwe tunashinda game zote daima, ila pia hakuna shabiki aliye tayari kuona timu inapata matokeo kwa bahati nasibu au kufungwa kizembe zembe.Ndo bongo tulivo.. Yan kuwa kocha wa timu za bongo ni kazi kweli kweli..
Hayo ni matokeo tu kama ambavyo mpira ulivyo na matokeo matatu.. Imagine Simba Jana angeshinda sidhan kama Leo ungeandika Uzi wa kocha kutimuliwa.
Yani Simba kila game tushinde tumekuwa nani kwa mfano? Hata wapinzani nao wanakuwa na tactic na lengo la kushinda kikubwa team ijiandae kwa game ijayo..
unhangaika hata kujibu ya nini?shida ya kishingo inajulikana ni mbabaishaji ana plan moja tu team ikibanwa kwisha kazi hata wazimbabwe walishaliona hilo, alivovurunda na kmc watetezi wakasema alikuwa anawazuga platnum sababu walituma mashushushu dsm ,
jana wamekuja na mengine kwamba tukubaliane na matokeo MATATU,NDIYO MAANA MASHABIKI WA SIMBA WANAACHA KWENDA UWANJANI SIKU HIZI, suala siyo kufungwa,teams inaweza ikafungwa lakini inapambana na kocha anaonekana kuna kitu anatafuta siyo huyu boya
Simba ya sasa ni simple sana kuwafunga wee waache wapigiane pasi za nyuma na pembeni sababu wako slow ukipata mipira ipitishe katikati kwa speed kubwa kama siyo mkude kukuchezea rafu kule nyuma kwa wawa na na onyango unawapita kirahisi sana
halafu wala haina shida kujua formation yao ni 4-2-3-1 kuanzia mwanzo wa msimu hadi mwisho,haijalishi wanacheza na majimaji au tp mazembe,wako nyumbani au ugenini,kishingo keshakariri hivyo maskini ya Mungu anaonekana ni kocha cheap sana ..wtf
Hakuna aliyesema tunataka tuwe tunashinda game zote daima, ila pia hakuna shabiki aliye tayari kuona timu inapata matokeo kwa bahati nasibu au kufungwa kizembe zembe.Ndo bongo tulivo.. Yan kuwa kocha wa timu za bongo ni kazi kweli kweli..
Hayo ni matokeo tu kama ambavyo mpira ulivyo na matokeo matatu.. Imagine Simba Jana angeshinda sidhan kama Leo ungeandika Uzi wa kocha kutimuliwa.
Yani Simba kila game tushinde tumekuwa nani kwa mfano? Hata wapinzani nao wanakuwa na tactic na lengo la kushinda kikubwa team ijiandae kwa game ijayo..
Ligi bado mbichi.Hata Everton/Tottenham/Southampyon ziliwahi kuongoza kuleee!Mwanzo wa mwisho wana Simba
Ile peak ya mafanikio kwa kikosi husika ilishapita zamani ikifika pale Simba ilivyotinga robo fainali CAF
BAADA YA pale curve ikaanza kubend
Na Sasa wananchi Ni zamu curve inaaanza kupanda
Kutesa kwa zamu
Nilisomea pale Mpapai wa Mbao Academy.Hivi wewe ukocha ulisomea wapi?
Kwa iyo kwa mawazo yako unaona Simba mechi ya juzi na Fc platinum walifungwa kizembe zembe sio?Hakuna aliyesema tunataka tuwe tunashinda game zote daima, ila pia hakuna shabiki aliye tayari kuona timu inapata matokeo kwa bahati nasibu au kufungwa kizembe zembe.
Hivi umefatilia performance ya Simba kwenye hizi game tatu za mwisho (mbili za VPL na hii ya CL) ? Hii Simba inayowatia pressure mashabiki wake wenyewe wewe unaona iko sawa?
Hakuna aliyesema tunataka tuwe tunashinda game zote daima, ila pia hakuna shabiki aliye tayari kuona timu inapata matokeo kwa bahati nasibu au kufungwa kizembe zembe.
Hivi umefatilia performance ya Simba kwenye hizi game tatu za mwisho (mbili za VPL na hii ya CL) ? Hii Simba inayowatia pressure mashabiki wake wenyewe wewe unaona iko sawa?