Hivi huyu Waziri ,siye aliyeiba Chokleti pale Supermaket Mlimani Mwaka 1998 kweli!??

MAKULUGA

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2011
Posts
7,828
Reaction score
10,527
Habari,
Wakubwa naomba mnikumbushe ,kuna tukio lilitokea Chuoni Mlimani mwaka 1998/99.Pale Supermarket Mlimani karibu na Polisi.Kuna Wadada 2 walikamwata wakiiba choklate.Tukio hili lilivuta hisia za Chuo kizima...sio kwa kuwa kulitokea wizi ,la hasha ila aina ya wale wezi! Walikuwa ni Wasichana Warembo hawakutegemewa kufanya hivo! Bahati nzuri nilikuwepo maeneo ya karibu wakai wa tukio!
Leo nimekumbuka tukio lile nimevuta taswira ya tukio lile na sura za wale warembo.
Hakika walikuwa wazuri,mmoja ambaye sura yake nimeikumbuka zaidi alikuwa mrefu wa kati ,mweupe,meno yake ya mbele yemetokeza kidogo !Na alikuwa ni mwanafunzi wa LLB!
Hili tukio linafurahisha kidogo...kwani linatukumbusha mambo yetu utotoni/ujana!
Yaani mtu anafanya shopping ya elfu kumi(Ya mwaka 1999)afu anaiba chokleti ya 300!
Kilichonifanya nikumbuke taswira za wale wadada ni kuwa mmoja.... kama wanafanana na Mojawapo ya Mawaziri waandamizi wa sasa!
 
Weka kapicha bas tumuone

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bila hata picha habari haijakamilika hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I see!

Mzee,it sounds kama una snitch hivi!

Udogoni watu walifanya vituko sana,kama unaweza muhukumu kwa anachofanya sasa hivi then it will be fair,otherwise my nigga you are snitching big time!

Leave it alone ma nigga!
 
Ahahahahhaha. Wazirii xxxxx, kama uliweza kuiba chocolate vip mipesa unayoletewa mbele zako kutekeleza ilani???
 
Unamwongelea Ummy Mwalimu?.. kama aliiba kweli itakuwa enzi za ujana wake tu, kila mtu aliwahi fanya ujinga kwenye ujana wake!..
...Hata hivyo ilikuwa ni kuiba kweli? Mwandika uzi anasema mwenyewe kuwa mhusika alifanya shopping ya Alfu 10 halafu akaiba chokleti ya shs 300...je kama manunuzi yalizidi tu Vinunuzwa??
Muacheni mrembo wetu wa Tanga, bwana![emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I see!

Mzee,it sounds kama una snitch hivi!

Udogoni watu walifanya vituko sana,kama unaweza muhukumu kwa anachofanya sasa hivi then it will be fair,otherwise my nigga you are snitching big time!

Leave it alone ma nigga!
Kumbuka wakati huo alikuwa chuo.....na kama unavyojua miaka ya 90 mtu kuwa chuo...ni mtu mzima kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom