Habari,
Wakubwa naomba mnikumbushe ,kuna tukio lilitokea Chuoni Mlimani mwaka 1998/99.Pale Supermarket Mlimani karibu na Polisi.Kuna Wadada 2 walikamwata wakiiba choklate.Tukio hili lilivuta hisia za Chuo kizima...sio kwa kuwa kulitokea wizi ,la hasha ila aina ya wale wezi! Walikuwa ni Wasichana Warembo hawakutegemewa kufanya hivo! Bahati nzuri nilikuwepo maeneo ya karibu wakai wa tukio!
Leo nimekumbuka tukio lile nimevuta taswira ya tukio lile na sura za wale warembo.
Hakika walikuwa wazuri,mmoja ambaye sura yake nimeikumbuka zaidi alikuwa mrefu wa kati ,mweupe,meno yake ya mbele yemetokeza kidogo !Na alikuwa ni mwanafunzi wa LLB!
Hili tukio linafurahisha kidogo...kwani linatukumbusha mambo yetu utotoni/ujana!
Yaani mtu anafanya shopping ya elfu kumi(Ya mwaka 1999)afu anaiba chokleti ya 300!
Kilichonifanya nikumbuke taswira za wale wadada ni kuwa mmoja.... kama wanafanana na Mojawapo ya Mawaziri waandamizi wa sasa!